Yeah, Nyamagana huwa nasema ni kama imejaa tofauti na Ilemela karibia 45% ya aridhi haijawa occupied kama Nyamagana. Nafasi ya kupangika kisasa ni kubwa labda tu viongozi wetu walale usingizi.Ukishapima viwanja low density ( 1200+ sqm ) ni ngumu kuwa na uswahilini sana, maana hakuna mbanano was nyumba.
Na sasa hivi, kidogo watu wengi wameelimika hawataki squatters.
Kaka tusidanganyane, milimani ni matajiri wanapaweza huko sio kila mtu aishi milimani hata kama huna uwezo.Swala la kuondoa nyumba milimani siliafiki mkuu maana hata izo nyumba zikijegwa vzuri milimani zinavutia na kuliletea jiji mwonekano wa kipee..kichua mfano wa Bravary hills/HOLLYWOOD HILLS marekani mbona kunavutia sana tuu na huko Mwanza kuna sehem inaitwa capripoint mbona kumejegwa vizuri sa assum kote mwanza milimani kungejenywa kwa mifumo rasmi kungependeza sana.
Nimecheka balaa 🤣🤣🤣Ndio maana Kama huwa unapanda daladala, ukiwa route za mitaa ya Ilemela hutowahi kusikia kilugha eg. Kisukuma, kikerewe kiha etc kwenye usafiri, panda sasa route za nyamaganautachoka, yani ni Kama vile umepanda gari za kwenda maswa simiyuu
Flyover ndio habari ya mjini😂😂😂Kaka si Ulisema tuachane na flyover mpaka tupate njia nne kwanza? 🤣 🤣 🤣 🤣
Kupima high density waache,Ukishapima viwanja low density ( 1200+ sqm ) ni ngumu kuwa na uswahilini sana, maana hakuna mbanano was nyumba.
Na sasa hivi, kidogo watu wengi wameelimika hawataki squatters.
Hvi Kuna maeneo yanaongea kilugha kupita hayaNdio maana Kama huwa unapanda daladala, ukiwa route za mitaa ya Ilemela hutowahi kusikia kilugha eg. Kisukuma, kikerewe kiha etc kwenye usafiri, panda sasa route za nyamaganautachoka, yani ni Kama vile umepanda gari za kwenda maswa simiyuu
Flyover brother hazijengwi kupendezesha jiji .. zinajengwa maalumu kurahisisha usafiri katika makutano au barabara zilizozidiwa na magari .. ..Kwa hyo unapoomba flyover lazima ubainishe ni wapi ziwekwe ...Kigali , Kampala zenyewe sidhani kama Kuna flyoverFlyover ndio habari ya mjini
Ilemela maisha Ni expensive sana ...na usalama ni mdogo ,,,nilishawahi kaa mitaa ya Ghana pale sio Kwa wizi ule .vyumba expensive,vyakula ghali lakini nyamaganaHapana mkuu ila ukweli usemwe nadhani viongozi na watu wa Ilemela wanajitambua kidogo, the place is very neat na ina umandhari wa jiji
Mimi ni mkazi wa nyamagana
Hvi Kuna maeneo yanaongea kilugha kupita haya
Kahama,
Shibula
Nyamhongolo
Kirumba (wakerewe na Waha Tena pale sokoni )
buswelu
Igombe (wajita,wasukuma na wakurya)
Ilalila kuelekea huko ..
........mim sitetei nyamagana but kunambia ilemela iko na city vibe kuliko nyamagana nakataa ...
nyamagana ukiacha maeneo ya buhongwa, kishiri na igoma .. kuliko Baki ni wajanja na wilaya nzuri na cheap kuanzia maisha
Kampala wanajengaFlyover brother hazijengwi kupendezesha jiji .. zinajengwa maalumu kurahisisha usafiri katika makutano au barabara zilizozidiwa na magari .. ..Kwa hyo unapoomba flyover lazima ubainishe ni wapi ziwekwe ...Kigali , Kampala zenyewe sidhani kama Kuna flyover
Sasa makazi ya Ilemela yana nyumba nzuri lazima yawe expensive.Ilemela maisha Ni expensive sana ...na usalama ni mdogo ,,,nilishawahi kaa mitaa ya Ghana pale sio Kwa wizi ule .vyumba expensive,vyakula ghali lakini nyamagana
Ukiwa na salary hata 150000 unaishi fresh na ndio maana watu wa Hali ya chini wanahamia sana milima ya nyamagana huku vyumba Hadi elfu 10 unapata
Igoma
,Igogo
Mkuyuni
Buhongwa
Mabatini
Mahina
Butimba
Mkolani
Mhandu
Mitaa hii ukishindwa kuishi basi mwanza huiwezi aisee
Nyamhongolo, Bwiru, kiseke, malaika etc acha utani kakaIlemela eneo ambalo nalikubali ni nyasaka na buswelu tu .. kwingine hapana aisee ..
Ibanda - KirumbaNyamhongolo, Bwiru, kiseke, malaika etc acha utani kaka
Kaka tusidanganyane, milimani ni matajiri wanapaweza huko sio kila mtu aishi milimani hata kama huna uwezo.
Milima mingine haitakiwi kujengwa kabisa ipandwe miti kama Balewa au Bwiru
Sasa hawa si matajiri angalia Milima iliyojengwa na matajiri na iliojengwa na maskini.Sijasema miliamani wakae masikini au matajiri ilo ni swala la uongozi tuu then kama ni masikini au tajili mwenye uwezo wa kuafford sherila zilizowekwa ndo ataishi, nachongelea ni kuweka utaratibu tuu na ujengaji holela ukatazwe huko mbona dodoma kumewezekana kwa kias kikubwa tuu.
Alafu unaposema milima mingine iachwe na ipandwe miti hii hoja yako niitaikubali kwamsingi wa maendeleo ya mazingira ila nitaikataa kama iyo sehemu inamazingira rafiki ya watu kujenga basi kwakujali mazingira ya asili ya iyo sehemu.
Kuishi hakumaanishi ndo mtu haribu mazingira na kutoa watu milimani na kuacha mawe ndo kutaleta watalii au kuvutia big no chamsingi kabla ya kuamua nyuma kuwepo na factor za msingi sio kufanywe tu kwa kukalili na mihemko.View attachment 2375009
Hii sehem mbona imejengwa na imeleta tija ma maana kwa wakazi na mazingira hayajahalibiwa assum kama kungeachwa pori tuu kisa mazingira na mawe yaonekane.
Nafikiri sababu ya Ilemela kutokuwa na vitu hivyo ulivyotaja ni kwa sababu ni mji una wageni wengi kuliko wenyeji na ndio unajengwa, na wageni wengi ndio wananunua hukoNdio maana Kama huwa unapanda daladala, ukiwa route za mitaa ya Ilemela hutowahi kusikia kilugha eg. Kisukuma, kikerewe kiha etc kwenye usafiri, panda sasa route za nyamaganautachoka, yani ni Kama vile umepanda gari za kwenda maswa simiyuu