Sabasaba-busweru ubora miaka yoteView attachment 2366817
Hyo commercial building ni gorofa ngapKupiga picha nacho ni kipaji hasa maeneo ya mjini ila to be honest projects zipo nyingi za kimya kimya. Mfano mtaa wa karuta Kuna ujenzi wa commercial and residential building na ujenzi wake umechanganya mbaya. Na kila Barabara za mjini huwezi kukosa project mpya. Huko pembeni ndo usiseme panafaa picha za drone.
Hawajaandika ni ghorofa ngapi but like ni ghorofa na Kuna kibao kizuri kabisa Cha kuonyesha Nini kinaendelea. Kibao siyo Cha mbao Tena😀😀😀Hyo commercial building ni gorofa ngap
Kwa miaka ijayo nyegezi itakuwa habari nyingine kabisaPale nyegezi karibu na nyamagana pub kuna ujenzi wa ghorofa kubwa sasa hv wapo floor ya kwanza
Ghorofa,,,kama hamna crane ya ujenzi,,Huwa siamin urefu wake kama Utakuwa mkubwaHawajaandika ni ghorofa ngapi but like ni ghorofa na Kuna kibao kizuri kabisa Cha kuonyesha Nini kinaendelea. Kibao siyo Cha mbao Tena![]()
Kama lile wanapojenga ghana kuna crane lile nafikir ni 10+Ghorofa,,,kama hamna crane ya ujenzi,,Huwa siamin urefu wake kama Utakuwa mkubwa
Hamna crane ila si unakumbuka pale nera Ile rocky city hotel wahuni walijenga bila crane na wakatoa kitu Cha ghorofa 10Ghorofa,,,kama hamna crane ya ujenzi,,Huwa siamin urefu wake kama Utakuwa mkubwa
Mkuu ni kweli kusimamisha gari na kupiga picha lazima ujitoe ufahamu, pia mbali ya hivyo kuna soo fulani hivi ila lazima tujitaidi tulete picha humu za project au majengo au sehemu yoyote unayoona itafurahisha macho ya wananzengo.Kupiga picha nacho ni kipaji hasa maeneo ya mjini ila to be honest projects zipo nyingi za kimya kimya. Mfano mtaa wa karuta Kuna ujenzi wa commercial and residential building na ujenzi wake umechanganya mbaya. Na kila Barabara za mjini huwezi kukosa project mpya. Huko pembeni ndo usiseme panafaa picha za drone.
Naam mkuu ndicho hicho na Mimi kinanipa tabu vinginevyo ningekuwa nimeleta humu vitu vingi sana.Mkuu ni kweli kusimamisha gari na kupiga picha lazima ujitoe ufahamu, pia mbali ya hivyo kuna soo fulani hivi ila lazima tujitaidi tulete picha humu za project au majengo au sehemu yoyote unayoona itafurahisha macho ya wananzengo.
Kwa utafiti wangu hizi modern market kwa wamachinga ni upotezaji wa fedha, ni bora zitengwe barabara maalumu kwa ajili ya shuguli za wamachinga.naona hapa buhongwa machinga wamerud kwa Kasi ya ajabu
Shida wanachafua miji, hata mabanda Yao yanaonekana kama uchafu. Wajengewe tu maeneo mazuri na rafiki kwa ajili ya kufanyia biashara zaoKwa utafiti wangu hizi modern market kwa wamachinga ni upotezaji wa fedha, ni bora zitengwe barabara maalumu kwa ajili ya shuguli za wamachinga.
Tatizo mamlaka zetu huwa hazina mpango endelevu wa kudeal na chinga.Shida wanachafua miji, hata mabanda Yao yanaonekana kama uchafu. Wajengewe tu maeneo mazuri na rafiki kwa ajili ya kufanyia biashara zao