Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Dar ..ko wew utajionea ni kina nani wako modern na wapi wako local
1663865088543.jpg
 
Jiji kama dar ..nalo ndo Lina struggle kujenga kimara express way . ambayo hata machoni haipendezi . majiji yetu yamakaa kilocal sana
Ona Kenya wenzetu ..msiseme sijui pesa sijui nini ...laumuni viongozi wetuView attachment 2364966
Nchi yetu inaviongozi wasiokuwa na uzalendo pia hawana maono hii kitu ingewekwa barabara ya kenyata au nyerere road mitaa ya buzuruga hakika jiji lingevutia.
 
hii ambayo Samia ndo anamaliza muda wake au ....Kwa sera zilizopo ,,,ni impossible mpaka atokee kiongozi mwenye uthubutu na mipango safi ..then nyie si mnaomba dual carriage au ..hyo ni eight lane bro
Mkuu tuombe kwanza kitu ambacho hatuna hayo mengine tukisha pata tusiyokuwa nayo kwa sasa.
 
Mkuu tuombe kwanza kitu ambacho hatuna hayo mengine tukisha pata tusiyokuwa nayo kwa sasa.
Ni kweli kabisa tuombe kitu ambacho hatuna ..lakin haituzuii kuomba kitu ambacho ni Cha kisasa na kinaendana na hadhi ya mji husika ..kama ni hvyo hakutakuwa na tofauti kati mji wa sumbawanga wenye four lane na jiji la mwanza ambalo nalo linaomba four lane ..
 
Hivi zile pesa walizosemaga wamekopa kwa ajili ya kuboresha miji ya mwanza,tanga na zanzibar walipelekaga wap 😄😄😄😄
Hizo ndio tulipata tukajenga soko la mjini kati, stendi ya nyegezi, stendi ya nyamhongolo, mahegesho ya malori nyamhongolo, ujenzi wa dampo la buhongwa na daraja la masai pale mjini kati.
 
Ni kweli kabisa tuombe kitu ambacho hatuna ..lakin haituzuii kuomba kitu ambacho ni Cha kisasa na kinaendana na hadhi ya mji husika ..kama ni hvyo hakutakuwa na tofauti kati mji wa sumbawanga wenye four lane na jiji la mwanza ambalo nalo linaomba four lane ..
Ni ukweli mtupu kutakuwa hakuna tofauti ya majiji na miji ya kawaida lakini tutafanyaje na hii ndio serikali yetu.
 
Mwanza ni mji wa pili kwa ukubwa ila viongozi wake wanafikiri kama vile wako Namtumbo.
Katikati ya jiji hakutakiwi kuwa na mifereji ya wazi.
Buhongwa Igoma ilitakiwa kuwa njia nne wamebadilisha kisa eti watu wamevamia hifadhi ya barabara.
Watu wanajenga milimani na sehemu zisizopimwa hakuna anayeenda kuwazuia, hivi wakiwa na utaratibu wa kuzunguka maeneo mara moja kwa mwezi, ukikatwa umeanza ujenzi sehemu sio unabomolewa.
Hakuna atakaye taka kupoteza pesa kwa kujenga sehemu isiopimwa.

Ilemela wanapima viwanja halafu wanauza vyote hakuna reserve ya viwanja kwamba kuna makampuni yatajenga maghorofa au malls au nhc wanakuja na miradi wanakuta kuna viwanja tayari ndio maana ya planning,
Sasa yakija makampuni kuwekeza buswelu inabidi wahamishe watu kwa kuwalipa fidia
 
kuna clip ya halmashauri ya jiji la mwanza kuhusu watu kukamilisha mauzo ya viwanja luchelele mpk trh 30 mwez huu wawe wamelipa aisee inaonyesha plot za luchelele huo mpango ukikamilika luchelele itajaa hakutakuwa na mapori tena
 
Hizo ndio tulipata tukajenga soko la mjini kati, stendi ya nyegezi, stendi ya nyamhongolo, mahegesho ya malori nyamhongolo, ujenzi wa dampo la buhongwa na daraja la masai pale mjini kati.
Sio hizo kaka, hizi pesa zilikopwa juzi tu na mama hazijulikani labda zimeenda zenj zote
 
Back
Top Bottom