Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Na Mimi najikuta nashangaa Sanaa, mbona petrol station zinazidi kujengwa ndani ya hifadhi za barabara? Wanapata hizo permits kutoka wapi? Ina maana tuna viongozi wajinga kiasi hicho!

Yani mtu unashindwa kuelewa Kama wanasema Wana mpango wa kujenga njia nne Kenyatta road, kwa Nini sasa hivi wanarusu watu wanajenga masheli katika hiyo barabara tena kwa Kasi ya kutisha?

Wakuu hebu tusaidiane katika Hilo japo Mimi sio mtaalamu wa mita ngapi zinatakiwa ziachwe kwa ajili ya hifadhi ya barabara ila najua ni mita 60! Sasa huku kwetu Mwanza imekaaje?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sio kujenga tu kwenye hifadhi ya barabara bali wameingia adi kwenye barabara.
 
Mji utazidi kuwa wa kiswahili swahili, yani unajiuliza mbona ni Kama viongozi wana vichwa vyeupe kiasi hicho! Yani hata akili ya kawaida ya kufikiria future ya mji kwa miaka kadhaa ijayo hawana!!

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mji utazidi kuwa wa kiswahili swahili, yani unajiuliza mbona ni Kama viongozi wana vichwa vyeupe kiasi hicho! Yani hata akili ya kawaida ya kufikiria future ya mji kwa miaka kadhaa ijayo hawana!!

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hao viongozi ndio wamiliki wa hizo petrostation wanazozijenga kwenye barabara kuu ambazo zinaitaji upanuzi, nazan pia wanataka kulipana fidia kwa badae.
 
Aisee leo nimeamin nyashishi imejengeka balaa kuna mtaa unaitwa ntende kama unaenda kasco construction aisee kuna majumba mengi huko af pamejengeka balaa yan kuweka stand ndogo tu ya nyashishi mwaka 2018 watu wanajenga kwa sifa aisee
 
Pale nyashishi palitakiwa pajengwa stand ya Hiace ya kisasa nasikiaga misungwi Wana hyo plan sema ndo hvy hizi halmashauri za wilaya hazipatagi miradi ya tactics
Chato dc, Tarime dc, chalinze dc, korogwe tc, mpanda tc, bariadi tc, babati tc, geita tc, njombe tc, kasulu tc n.k hizi halmashauri za wilaya na miji mbona zipo kwenye miradi ya tactic sema viongozi wa halmashauri zetu za misungwi, sengerema, ukerewe, magu, kwimba na buchosa wamelala hawataki kuchangamkia fursa kama hizi kuanzia wabunge adi wakuu wa mikoa na wilaya ni vilaza tu.
 
dc

Halmashauri ya wilaya ni chato tu zingine ni majiji manispaa na miji
 
Pale nyashishi palitakiwa pajengwa stand ya Hiace ya kisasa nasikiaga misungwi Wana hyo plan sema ndo hvy hizi halmashauri za wilaya hazipatagi miradi ya tactics
Miradi ya tactics ni ufadhili ..na wafadhili hawawezi kufadhili maeneo yote .. wilaya kama magu na sengerema zinapata ufadhili kwenye miradi mingine mingi tu ...sio lazima tactics
 
Sabasaba-busweru ubora miaka yote
20220924_171417.jpg
 
Back
Top Bottom