Kwahiyo hilo daraja likikamilika kutakuwa hakuna sababu ya kivuko.Hilo daraja ni zaidi ya kuunganisha Mwanza Jiji na Sengerema au Mwanza Mkoa na Geita. Ndio maana Ilemela wamejiwahi parking lot ya magari ya mizigo hata Nyamagana nasikia wanajenga yao Buhongwa
Kama Tunduma, Horiri au Mutukula, ni semi trailers. Yaani dual carriage inaweza kuwa extended mpaka NyangugeKwahiyo hilo daraja likikamilika kutakuwa hakuna sababu ya kivuko.
Halafu hilo daraja ninavyojua litaunganisha Geita, Bukoba road.
Hayo magari ya mizigo yatakuwa ni yale yanayobeba mizigo Mwanza ??
Vivuko labda TAMESA wahamie chocho la Kamanga tu, napo najua demand itaongezeka tu.Kwahiyo hilo daraja likikamilika kutakuwa hakuna sababu ya kivuko.
Halafu hilo daraja ninavyojua litaunganisha Geita, Bukoba road.
Hayo magari ya mizigo yatakuwa ni yale yanayobeba mizigo Mwanza ??
Sahv mrad upo asilimia 57View attachment 2360538
Huu mzigo ukikamilika, inflow na outflow ya magari/ watu kuelekea Magharibi itaongezeka sana Mwanza, Northern corridor ya East Africa inaweza hamia Sirali -Mwanza RD
Butimba kwa mbele uko na nyegeziNyamagana maeneo ambayo bado ni pori ni wapi?
Butimba eneo limeshikwa na JWTZ, yaani eneo kama la Butimba ziwani kuwa potential vile likae wazi tu??? 😛 😛 😛 😛Butimba kwa mbele uko na nyegezi
Hayo maeneo utayaona ukisimama kwenye mlima wa afya radio
Kwa nyegezi ukisimama kwenye mlima wa wazimu kuna maeneo mengine siyafaham maeneo bado yapo tutafuten pesa
Ni kweli haiwezekani wawe na maeneo Mazuri then mapato waendane na Ilemela kuna kitu sio bure walitakiwa waongelee 20b+Halafu naona nyamagana ni wazembe, wana vyanzo vingi vya mapato ila maendeleo ni ya kusuasua tofauti na Ilemela
Ndo plan iliyopo 25kmKama Tunduma, Horiri au Mutukula, ni semi trailers. Yaani dual carriage inaweza kuwa extended mpaka Nyanguge
Inawezejanaje maeneo yawepo lakini watu wakajae Igekemaja huko, Ilalila na usagara?Butimba kwa mbele uko na nyegezi
Hayo maeneo utayaona ukisimama kwenye mlima wa afya radio
Kwa nyegezi ukisimama kwenye mlima wa wazimu kuna maeneo mengine siyafaham maeneo bado yapo tutafuten pesa
Hii ni mwanza au Mara?Nawaletea mambo ya mwasonge na nyakagwe
Labda bei ndio tatizo na milima mingiInawezejanaje maeneo yawepo lakini watu wakajae Igekemaja huko, Ilalila na usagara?
Bei za Viwanja Lwahnima hazina tofauti na Nyanshishi au Nyangomango.Labda bei ndio tatizo na milima mingi
Aisee nimeshangaa sana kipande Kati ya buhongwa na mkolani ambacho ni less than 5kms kina vituo vya mafuta karibu 20+
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu pipe za bandarini wanajichotea tu siku hizi hakuna wa kufanya ziara za kushtukiza tenaNa bado naona sheli nyingi kipande cha Usagara-Kisesa na Buhongwa - Igoma kuna sheli zitafunguliwa nyingi tu