Sorcerer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,694
- 2,482
Uelekeo wa ziwa ndio kushoto mwa Capri pointUmepiga uelekeo wa ziwa ? ..bas sio kwenyewe
Uelekeo wa ziwa ndio kushoto mwa Capri pointUmepiga uelekeo wa ziwa ? ..bas sio kwenyewe
Oky..hapo sipajui aiseeUelekeo wa ziwa ndio kushoto mwa Capri point
Hivi Sengerema Unaweza kuniona ukiwa mwanza?Sijui uko ndio sengerema kwenye taaa uko? Imekula zoom la kutoshaView attachment 2359006
Sio Sengerema town labda AHivi Sengerema Unaweza kuniona ukiwa mwanza?
Ila Kamanga haina taa nyingi hivyo au siku hizi kumechangamka?
Hapo ni Kahama center????Kahama ilemela naona barabara inafanyiwa finishig
Sidhani kama ni KamangaIla Kamanga haina taa nyingi hivyo au siku hizi kumechangamka?
Wanakimbiza hatari majuzi nilipita hapo jamaa wako vizuri bhanaView attachment 2359448
Hili jengo naona Wamefika floor ya saba au naona vibaya?
Kwa juu kama kuna matoleo ya floor ya nane.
View attachment 2359448
Hili jengo naona Wamefika floor ya saba au naona vibaya?
Kwa juu kama kuna matoleo ya floor ya nane.
Mbona Nera kuna Jengo la 10f au Nera sio IlemelaSio floor saba ni floor sita ya saba ndo imechomoza natabiri hili jengo litakuwa floor 10 na ndo litakuwa jengo refu wilaya nzima ya ilemela
Nera upande mmoja wa barabara ni Nyamga, na upande wa pili wa Barabara wenye fukwe ni Ilemela, Hivyo kuanzia mto Mirongo upande wa fukwe ni Ilemela zikitenganishwa na Nyamagana kwa Barabara ya Makongoro mpaka ni Shule ya Msingi Mwenge (Ilemela) na Kanisa la KKKT (Nyamagana) kuelekea milimani kurudi Isamilo ndio NyamaganaMbona Nera kuna Jengo la 10f au Nera sio Ilemela
Mbona Nera kuna Jengo la 10f au Nera sio Ilemela
Buzuruga hapoWapi hapo?
Mwananchi bila shaka!Buzuruga hapo
Hapa ni mwananchi,mahina kati ..njia ya kuelekea mahina primary
View attachment 2359448
Mi nikiona jengo halijengewi crane Huwa na hofu na urefu wake ..Mara nyingi hayawagi marefu sana