Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,702
- 35,756
Kisesa - nyashishi ukizungukia mjini ni 35-40 kmHahaaa iyo ruti Kisesa- Nyashishi ni noma inachafua zaidi ya 20km...
Mi nikiwa likizo Mwanza huwa nachagua zile ruti ndefu mfano Airport - Kishiri au Kisesa nakaa zangu seat ya mbele na driver naaenjoy madhari ya Mwanza nikifanya utalii wa ndani...