Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Our pride💥💥💥💥
 

Attachments

  • SHA_20220915_172222696_8.4.400.jpg
    SHA_20220915_172222696_8.4.400.jpg
    4.1 MB · Views: 17
Pale buzuruga manispaa ya ilemela ingeingia ubia na Hawa watu wa social fund wajenge jengo kubwa la kitega uchumi au kama vp wakope pesa bank wajenge jengo la kitega uchumi kubwa mnoo ndan ya miaka 5 pesa inarud
 
Ndio najua wanajenga lkn wanaanza kujenga lini pale pasibaki hvyhvy mda mrefu
kwenye suala la investment kaka ...Huwa haifanyiki ili kumridhisha mtu au kupendezesha tu eneo . lazima ifanyike analysis, proposal zifanyike ,ili kuwepo na win to win situation.kwamba mwekezaji anufaike,raia anufaike ,na mamlaka wanufaike ......hili suala halmashauri waichie tu private sector ,,wao hata wasijihusishe na biashara..eneo waligawe Kwa watu binafsi wafanye investment
 
Mwanza inawaka kinoma usiku huu

Ipuli,minazi mitatu na nyegezi majengo mapya kwa mbaaali
20220916_204444.jpg
 
Back
Top Bottom