Hivi kwa nini nyamhongolo hawakutumia kiswahili?How it's going View attachment 2357927View attachment 2357928
Kumbe hata Nyamhongolo wangeweza kuita STENDI KUU YA MABASI ILEMELA.How it's going View attachment 2357927View attachment 2357928
Hawakutumia kiswahili kivipHivi kwa nini nyamhongolo hawakutumia kiswahili?
Si hicho kiswahiliHivi kwa nini nyamhongolo hawakutumia kiswahili?
Siku ile umenichanganya mara Tilapia bus terminal nikajua bango lipi kiinglishi😂😂Si hicho kiswahili View attachment 2358046
Hapo nje wapatengeneze stendi itajaa vumbi hiyo.Si hicho kiswahili View attachment 2358046
Tayari wameshatenga milioni 500 Kwa ajili ya kazi hyoHapo nje wapatengeneze stendi itajaa vumbi hiyo.
Huyu mtu kapotea bwanaKitombile yuko wapi?
aliekua mkoa wa mwanza mhandis Gabriel aliagiza barabar za kuzunguk stend zijengwe kwa lami stend ikikamilka na barbar ziwe tayr ila mpka sas hawajaanz ikikamilka lianze vumb km nyamhongolo wakat wanajua kbsa lami inaitajik na serkal fedha....wabongo wanapend mpka wasukumwe wanachelewesh maendeleoHow it's going View attachment 2357927View attachment 2357928
Kwan mwanza Mara ya mwisho kuwapo ilikuwa Lin!?Nawish ingekua ivo ila majengo meng hapo n ya mda natamn uksem mijengo tuone kwel sio ayo ya mda...nipo dom na nmetok chuga kule kwel majengo yanashushw sjui wawekaz mwanz wanakwama wap..suburb mwanza zinakua San kulko mji wowote tanzania ishu n hapo cbd
Nakumbuka mwak juz alipkua maguful kule nera kun muwekazaj mmoja jiji lilimtaka abomoe jengo la biashar ambyo lilikua sio gorofa kwa madai kua ile pia n cbd au katakt ya jiji inabd zijengwe gorofa tu ila cha kushangaz saiv hapo cbd wanajenga nyumba ambzo sio gorofa tena na NHC kbsa wamejenga frame km zote na sio gorofa sas iyo sheria sjui zimeondolew au vipleo nipo huku wazimu binadam wanashusha majumba balaaView attachment 2357844View attachment 2357845View attachment 2357849
Mwaka huu mwez wa piliKwan mwanza Mara ya mwisho kuwapo ilikuwa Lin!?