Kisesa - nyashishi ukizungukia mjini ni 35-40 kmHahaaa iyo ruti Kisesa- Nyashishi ni noma inachafua zaidi ya 20km...
Mi nikiwa likizo Mwanza huwa nachagua zile ruti ndefu mfano Airport - Kishiri au Kisesa nakaa zangu seat ya mbele na driver naaenjoy madhari ya Mwanza nikifanya utalii wa ndani...
Pesa ya hapo ni billion 11 bora tungejenga barabara ya mkuyuni to nyakatohttps://www.facebook.com/
Mradi wa kingo mto mirongo si wa kitoto, 9km za mto kwa 9b Tshs almost 1b Tshs kwa kila kilomita moja.
Proposal ya zamani ilionyesha kutakuwa na vivuko vya waenda kwa miguu na vyoo vya umma kwenye baadhi ya sehemu
Una fuatilia mambo ya navyo kwenda? Au unatumia hisia zako tu?Pesa ya hapo ni billion 11 bora tungejenga barabara ya mkuyuni to nyakato
Mambo gani yanavyokwenda barabara ya mkuyuni nyakato ni muhimu sana aisee ina watu wengi mnoo bora wangesitisha kidogo hzo kingo tujenge hyo barabaraUna fuatilia mambo ya navyo kwenda? Au unatumia hisia zako tu?
Kwa hiyo tukiwa tunajadili humu husomi? 🤣Mambo gani yanavyokwenda barabara ya mkuyuni nyakato ni muhimu sana aisee ina watu wengi mnoo bora wangesitisha kidogo hzo kingo tujenge hyo barabara
Uyo atakua hasomi mijadala ya nyuma, yeye akiingia tu anaanzia atakapo ukuta mjadala...Kwa hiyo tukiwa tunajadili humu husomi? [emoji1787]
Ngoja waje wakujibu wengine
Hii iko sehemu gani tena?Igelegele ipuli&wazimu huku miaka 5 ijayo ni Nyasaka kabisaView attachment 2358510View attachment 2358511View attachment 2358512
igelegele ipo katikati ya mahina Kati na bugarikaHii iko sehemu gani tena?
Kumetulia.Igelegele ipuli&wazimu huku miaka 5 ijayo ni Nyasaka kabisaView attachment 2358510View attachment 2358511View attachment 2358512
Kahama ilemela naona barabara inafanyiwa finishig
🥰🥰Igelegele ipuli&wazimu huku miaka 5 ijayo ni Nyasaka kabisaView attachment 2358510View attachment 2358511View attachment 2358512
Barabara ya mkuyuni inajengwa na tanroads blood..usjalPesa ya hapo ni billion 11 bora tungejenga barabara ya mkuyuni to nyakato
Nilipita mwezi wa saba apo kama wanafanya finishing ni jambo jema, vipi mwendelezo wa barabara hawajaongeza meter kadhaa...Kahama ilemela naona barabara inafanyiwa finishig
Kwenye master plan ndo unavyosema .lakini siku zote investment na biashara huwezi tumia force ,,,,mi kwangu ukiniuliza kuhusu maendeleo ya CBD ya mwanza..naona ni oky tu ,,,kuhusu majengo yatajengwa tu Wala usiwazeNakumbuka mwak juz alipkua maguful kule nera kun muwekazaj mmoja jiji lilimtaka abomoe jengo la biashar ambyo lilikua sio gorofa kwa madai kua ile pia n cbd au katakt ya jiji inabd zijengwe gorofa tu ila cha kushangaz saiv hapo cbd wanajenga nyumba ambzo sio gorofa tena na NHC kbsa wamejenga frame km zote na sio gorofa sas iyo sheria sjui zimeondolew au vip
Lami za hv zinakera sana ..Kahama ilemela naona barabara inafanyiwa finishig