Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Screenshot_20220914-071016~2.png
 
Nipo hapa butimba naona nyamagana wamepewa billion 36 za pesa za tactics ujenzi wa barabara ya Buhongwa to igoma,soko la kisasa mkuyuni pamoja na ujenzi wa mto mirongo
Vip barabara ya mkuyuni nyakato yenyewe haiko tactics?!
 
Kirumba zikijengwa barabara itakuwa ya tofauti, kwanza imeongezwa kwenye CBD.

Kirumba itakuwa na masoko wawili makubwa.
Kirumba kuna mall.
Uwanja wa CCM Kirumba ukikarabatiwa itakuwa bomba.
Kirumba kuna hoteli.
Si muda mrefu tutaanza kuona majengo marefu kirumba, kama nhc wana akili waingie ubia na wenye vijengo vya hovyo wajenge apartments na sehemu za biashara
 
Moja lipo floor ya 6 na kuna uwezekano wa kufika 10
 
Leo pale kwny mrad wa butimba makamu wa Raisi mpango ametoa onyo kuwa tangu aje mwanza kuna utitiri wa ujenzi wa sheli za mafuta karibu na makaz ya watu kwan sheli inatakiwa ijengwe mita 500 kutoka makaz ya watu
 
Hizo mita 500 hapo katikati kuna na nini au inakuwa open space, maana mita 500 sio mchezo i nyingi sana
 
Wanasiasa ni kuongea tu lakini utekelezaji ni hovyo..hiyo Sheria si imekuwepo Toka miaka. .aliyetoa permit ni nani ...mpaka kituo kuwepo hapo maana yake kimepitia taasisi zote za udhibiti kuanzia ewura ,nemc nk
 
Back
Top Bottom