Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

ilemela wakikamilisha hz projects mfn barabara ya airport had kisesa au nyanguge,barabara ya ilalila kupitia kabusungu kuungana na barabara ya sangabuye,barabara ya mbogamboga had nyamhongolo stand,barabara za mitaa ya buswelu watatisha sana
 
Itajengwa airport hadi Nyanguge
 
Attachments

inavyoonekana NDANI ya miaka 5 Ilemela itaanza kuipundua Nyamagana?
Ilemela haitakuja kuipita nyamagana hata siku . Moja kilichokwamisha nyamagana ni geographic yake ni milima mingi ..mji unakuwa kama hauonekani ..lakin project za isamilo ,na luchelele viwanja vimeshauzwa tayari tutegemee makubwa
 
TOfauti ya ilemela na Nyamagana, Ilemela bado aridhi kubwa haijavamiwa kwa hiyo kuna nafasi kubwa sana ya kuupanga mji Kisasa, Kata kama ya Shibula, Kahama, Sangabuye, Igogwe na Kayenze bado sehemu kubwa ni mapori.
 
Ilemela haitakuja kuipita nyamagana hata siku . Moja kilichokwamisha nyamagana ni geographic yake ni milima mingi ..mji unakuwa kama hauonekani ..lakin project za isamilo ,na luchelele viwanja vimeshauzwa tayari tutegemee makubwa
Ukiitoa city centre na kapripoint ilemela imejengeka sana aisee
 
Sidhani kama ilemela Ina eneo limejengeka kama kuanzia nyegezi Hadi buhongwa..na nyegezi usiitazame pale road tu ..ingia kama unaenda majengo mapya kule juu ,,Kuna chobsi huko pamejengwa balaa

Sibishi ilemela imejengwa.ila nyamagana nayo sio powa ,, nilikuwaga naichukulia poa ila Kuna siku nimetembelea maeneo ya nyegezi na buhongwa nilirise up my
 
Hili ziwa mnalionaje? Naona kina kinazidi kuongezeka tu hili ni tatizo aisee....
 
ila wazee tuseme ukweli kipind cha samia maujenz mwanza yameshika kas sana hasa masheli af nimepita njia ya sabasaba buswelu haloo Napo kuna masheli sio mchezo af pale kiseke A kuna bonge Moja la pub balaa
Hyo itakuwa the breeze..anakuja Kofi hapo soon
 
Kwa taarifa walizotoa .
Stand ya nyegezi ilipaswa kubeba mabus 500 tofaut na hii ya nyamhongoro

Kwa sasa ruti ya mwanza-sirari limebaki gap moja tu la usiku kwanzia saa moja na gari ipo George Town

Pia ruti ya mwanza-msoma imejaa kabisa
Ruti zilizobaki ni vijijini tu

Ila stand ya nyegezi inahudumia mikoa 10+ inakuaje ndogo kiasi hicho?
 
Planners wa miji yetu ni bure kabisa hawatarget mbele wanaangalia karibu
 
Back
Top Bottom