Mwanza City: The Photo Gallery

Hahahaha Mkuu umetaja home kabisa, hata hapo Nyasaka sec nimesoma form four ya kwanza kumaliza sisi, home ni hapo karibu na soko
 
Angetokea Kayenze
 
Hahaaa iyo ruti Kisesa- Nyashishi ni noma inachafua zaidi ya 20km...

Mi nikiwa likizo Mwanza huwa nachagua zile ruti ndefu mfano Airport - Kishiri au Kisesa nakaa zangu seat ya mbele na driver naaenjoy madhari ya Mwanza nikifanya utalii wa ndani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…