Mwanza City: The Photo Gallery

Hapana mkuu, Naomba usimsikilize kabisa Mrs Lissu, kiukweli kabisa nilikuwa sijui, ila jinsi ambavyo nilikuwa nauliza, mtu anaweza akahisi vingine. Kweli mkuu nilikuwa sijui, I swear. Na asante kwa kunifafanulia.
worry not ..I take everything easy..ni sehemu ya kuexchange idea
 
Umemaliza kila kitu
 
Nyasaka pia unakua, miaka ya zamani tulikua tunatoka nyambiti kwenda mtoni nyasaka kufata maji, sasahivi Nyasaka haishikiki tena
 
Leo nilikuwa buhongwa maeneo ya bulale aisee mbele kuna mtaa unaitwa nyangwi na kigoto kuna watu wamejenga balaa aisee sio mchezo af yule alieulizia ile wetland inayoonekana maeneo ya ziwan ukiwa sheli ya maseti pale ni nyangwi
 
Pale pazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…