Mwamba umekaa Butimba Magereza!?Kama Mimi tu enzi hizo nasoma advance nilikuwa natoka butimba magereza kwa miguu napita chake chake napasulia igogo natokea bugando then mjini kati natokea daraja la wamasai huyo mpaka lake. Wakati wakurudi home napita huku station nafuta reli mpaka voil halafu Rami mpaka nafika home. Nishawahi kutoka butimba kwa miguu nikaenda buzuruga, kangae nikatokea buswelu nikarudi kwa miguu through the same route . Daaah haya maisha bhana
Hizi Filling Stations zimejaa barabara ya Nyegezi_usagara Kila baada ya mita kadhaa tu unakutana nayo katikati ya Mkolani na Nyashishi ni Utitiri pande zote za BarabaraSiku hizi filling station naona zinaipamba barabara ya Buswelu-Kahama na zitaongezeka uelekeo wa Sangabuye mpaka Igombe na Kayenze
Ile hata Mimi huwa naiona ukitaka uione vizuri uwe usawa wa ilipo MASETi filling station au Kama unaenda Nyahingi hvExactly ni ziwan pale pamepakana na buhongwa
No Mwasonge fata njia ya kwenda Bulale Hadi Nyakagwe then ndio unafata Mwasonge huko, Sema huwa mvua ikishuka haswa inabidi udandie mtumbwi kuingia MwasongeOky ..ndio Iko upande wa dampo la buhongwa!!?
Mtaa ulionilea kaka acha tuMwamba umekaa Butimba Magereza!?
Labda ukanunue shadi luchelele viwanja vya jiji ...ila vingine vingi ni expensive...inabidi ununue nje ya mji kama igombe ,Kayenze nkNaomba kuuliza wapi mwanza kuna viwanja bei nafuu karibu na ziwa.
Nilikua nafikiria bukumbi kule ila naona mbali kutoka town?.
Kwann wasiweke taa Hadi buhongwa wanapachukuliaje buhongwaMliokuwa mnasubiri taa za barabarani mwanza Kwa ufupi Kwa wasio na bando
Kuna mkandarasi kashawekwa kuweka taa kuanzia ilemela Hadi pasiasi ,na wako kwenye manunuzi ya kumpata mkandarasi atakayeweka taa kuanzia pasiansi Hadi Town ..
Kwa barabara ya kenyata tayari mkandarasi kaweka taa Hadi Pepsi ,na mwingine mkandarasi ataweka Hadi mkolani
Kwa mwaka huu wa fedha mkandarasi amepatikana ataweka taa Hadi igoma .
Swali linakuja wakitaka kupanua barabara hasa kenyata itakuwaje.
Tutakuwa tunafahamiana nimekaa humo kotaz 2000_2018 mshua kustaafu na kuweka makazi Buhongwa elimu na utafutaji umeniweka mbali na MwanzaMtaa ulionilea kaka acha tu
Kabisa mkuu inabidi tuchekianeTutakuwa tunafahamiana nimekaa humo kotaz 2000_2018 mshua kustaafu na kuweka makazi Buhongwa elimu na utafutaji umeniweka mbali na Mwanza
Mi natafta kiseke , nikipata cha million 2 kushuka hata Leo nanunuaNaomba kuuliza wapi mwanza kuna viwanja bei nafuu karibu na ziwa.
Nilikua nafikiria bukumbi kule ila naona mbali kutoka town?.
Kwa Kiseke ni ngumu sana. Buswelu yote kupata kiwanja cha bei hiyo ni ngumu sana.Mi natafta kiseke , nikipata cha million 2 kushuka hata Leo nanunua
Anaweza akapata , inategemea na kiseke ipi na ukubwa wa kiwanjaKwa Kiseke ni ngumu sana. Buswelu yote kupata kiwanja cha bei hiyo ni ngumu sana.
Buswelu yote ni almost imepimwa nadhani.Anaweza akapata , inategemea na kiseke ipi na ukubwa wa kiwanja
Namcheka zaidi anayejitahidi kukujibu...!dah maisha haya....! Nialike tu mkuu napenda maisha hayo mimiMrs Lissu ninakuona tu unavyonicheka kwa ushamba wangu wa nyota tano, haina shida mkuu, lakini haya ni maisha tu, nikipata fedha mi nitajenga ya nyota sita halafu nitakualika uje kula bata, unasemaje Mrs Lissu?
Unamcheka kwa sababu anapata tabu kunijibu au unacheka kwa sababu gani?Namcheka zaidi anayejitahidi kukujibu...!dah maisha haya....! Nialike tu mkuu napenda maisha hayo mimi
Unamuenjoy na yeye hajui maskini1๐คฃ๐คฃUnamcheka kwa sababu anapata tabu kunijibu au unacheka kwa sababu gani?
Please Mrs Lissu acha kusema hivyo atajisikia vibaya, kwanza tuongee ya kwetu,Unamuenjoy na yeye hajui maskini1๐คฃ๐คฃ