Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Namaanisha Arusha ni pazuri zaidi
Kivipi maana uzuri wa arusha ni ubaridi tu! Ila hali ya upepo na vumbi ni kubwa kitu ambacho mwanza hakipo! Landscape ya mwanza ni nzuri zaidi ya arusha na ziwa pia linaifanya mwanza kuwa nzuri zaidi! Sema wewe ni mtu mwenye mahaba na Arusha!Unaiangalia mwanza kwa jicho la wivu!
 
Mwanza imeizidi Arusha ziwa tu, labda na mawe
Ila mji uliotulia ni Arusha, mji msafi ni Arusha, miti mingi Arusha, hoteli kali Arusha, interaction kubwa na watu wa nje Arusha, hata landscape nzuri ni ya Arusha, hali ya hewa wengi husema Arusha ila mimi si mpenzi wa baridi hivyo kwenye hali ya hewa naipa Mwanza
But to be honest Mwanza haiifikii Arusha kwa uzuri
 
Nenda kwenye nyuzi za battle,,,,
 
Mkuu nakushauri uende kunako husika humu ndani naona umepotea njia.
 
Asante sana kwa maoni yako..ila huu uzi sio kwaajili ya kulinganisha miji..huu ni uzi kw aajili ya wapenzi na wakazi wa mwanza katika kushare habari za maendeleo ya mji wa mwanza..pia na kupeana changamoto mbalimbali zinazohusiana na mwanza ili kuweza kuzitatua na kufikia lengo la kimaendeleo kwa wana mwanza.

Karibu sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Vitu
Screenshot_20220831-065726.jpg

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Habari nimekutana na hii habari Instagram mkuu wa Mkoa Mwanza akizindua maonesho ya biashara yatakayofanyika katika uwanja wa Nyamagana...
Nikajiuliza hivi inamaa Mwanza kupitia halimashauri zake wanashindwa kujenga eneo maalum kwa ajili ya kufanyia maonesho ya biashara... Kama pale sabasaba japokua sijui mmiliki wake ni nani lakini nafkri panafaa zaidi...
View attachment 2340850
 
Naona barabara ya Mkuyuni Nyakato 9km itajengwa bajeti hii.
Jitihada zifanyike kuunganisha hizi barabara na buzuruga.
Pia nyerere road ikipanuliwa basi buzuruga wajenge flyover.
 
Barabara ya mkuyuni nyakato.haifiki buzuruga...inaungia pale mwatex
 
Hujanielewa kaka, nimesema hizi barabara zinazojengwa watafute namna ziunganishwe na eneo la Buzuruga, kwa maana nyingine ijengwe barabara kutoka buzuruga ikutane na barabara ya Nyakato Mkuyuni, iende ikutane na igoma buhongwa, pia ikutane na kisesa usagara.
 
Hata Bugando iunganishwe kutokea Buzuruga sio lazima mtu anaetokea Igoma apitie mjini ndio aingie Bugando
 
Back
Top Bottom