Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Picha Ina mb 14 rafik angu..umepigia drone niniView attachment 2334847
Mwananchi, Nyakato
Picha Ina mb 14 rafik angu..umepigia drone niniView attachment 2334847
Mwananchi, Nyakato
Hapa wapi
Picha za drone bro🤣🤣Picha Ina mb 14 rafik angu..umepigia drone nini
Saa nane IslandHapa wapi
NA hapo ukingoni mwa ziwa kuwekewe kingo na kupandwe minazi bubu nawaambie itakua poa sanaView attachment 2334784
Hapa yakipatikana hata majengo 3 ya floor 15 au zaidi na hiyo tampere park ijengwe kutakuwa na view moja matata sana
View attachment 2334784
Hapa yakipatikana hata majengo 3 ya floor 15 au zaidi na hiyo tampere park ijengwe kutakuwa na view moja matata sana
Walishafanya design tayariView attachment 2335616
View attachment 2335617
barabara ya makongoro huo ukanda wa ziwani pakiwekwa kingo za namna hii hakika patapendeza sana... tupo tayari kuwashauri na kufanya design i love mwanza
apo sawa wakuu mtupe ata picha tuoneWalishafanya design tayari
Hiki kinajengwa Nini?
Finishing ya Nyegezi Bus terminal hiiHiki kinajengwa Nini?
View attachment 2336835
View attachment 2336836
izi barabara mbili ziamgaliwe sana pawekwe four ways saivi msongamano ni mkubwa sana mizani to town,, pia kisesa to town pia napo kuna shida tuzingalie izi barabara.. zikiwekwa vizuri kutakua na view nzur sana ever seen,.. kama makongoro road to airport iliwezekana basi na izi pia zinawezekana.... i love mwanza