Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Tuko kwenye upembuzi yakinifuView attachment 2336835
View attachment 2336836
izi barabara mbili ziamgaliwe sana pawekwe four ways saivi msongamano ni mkubwa sana mizani to town,, pia kisesa to town pia napo kuna shida tuzingalie izi barabara.. zikiwekwa vizuri kutakua na view nzur sana ever seen,.. kama makongoro road to airport iliwezekana basi na izi pia zinawezekana.... i love mwanza