MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,913
- 9,012
Hawa ndio vigogo waliouziana Isamilo 🤣🤣🤣🤣
Hadi kina Tulia???
Kwahiyo Mbeya Kuna wapiga kura tu, misheishe Mwanza???!!!
Hawa ndio vigogo waliouziana Isamilo 🤣🤣🤣🤣
Nataman Barabara ya Airport-kayenze- ijengwe 4laneBeach plots mtu akitaka sqm 1000 Ni kama Tsh 30,000,000 hapo hapo watakaonunua hawataleta mzaha.
Ilemela inajitengenezea CBD yake ya nguvu.
Yaani manispaa wangeanza kwa kujenga Park,uwanja wa golf Hotel ya kitalii na parking ya magari ili kupendezesha mji na kuongeza mapatoHawa ndio vigogo waliouziana Isamilo 🤣🤣🤣🤣
Hadi kina Tulia???
Kwahiyo Mbeya Kuna wapiga kura tu, misheishe Mwanza???!!!