Canabian Rasta
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 775
- 1,754
Naona mmejitahidi kutangaza Hotel za wanaume wenzenu bila gharama yoyote. Hayo mahotel yote hayamsaidii mtanzania wa mwanza anayewaza ada za watoto. Chakula. Kodi ya nyumba. Nk
Punguza ujinga...kwenye izo hoteli kuna wafanyakazi wengi na tunaishi nao majumbani maisha yakawaida na wanajikimu maisha yao nakulea familia zao kupitia izo izo hotel na zaidi wanawatunza wazaz wao uko vijijini kwa kuwatumia ela zinazotokana na kipato wanachopata kutoka kwenye izo hotel afu unasema hazimsadii mtanzania wa kawaida wa Mwanza dah watu wengine ni fuvu tuu.
