Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Ile picha ya MS hotel upande wa ziwa huwa inawadanganya sana, pita huku mbele amechukua eneo lote la ziwa na pia katengeneza tambarare kubwa kwaajili ya ukimbi, parking na sehemu ya michezo ya watoto, huyo malaika ni mchumba tu.Malaika bado naipa nafasi Kwa sababu ya facilities wa ukumbi wa mikutano,wana beach safi ,wana every suites ambayo standard and deluxe hotel inapaswa iwe
