Naona viwango vimewekwa sawaKumekuchaa NyamhongoloView attachment 2324420
Mkurugenzi alikuwa anaropoka tu kumbe ..hapo wameweka sawKumekuchaa NyamhongoloView attachment 2324420
Mabasi ruti za mkoa wa Mara ..ambazo Huwa zinaenda karibu Mara nne Kwa siku ,,yataipa mapato sana stendi hyo ..5000*4 na zipo kampuni nyingi..Kumekuchaa NyamhongoloView attachment 2324420
Sasa hivi wameruhusu hata kampuni zenye root ya Dar wanaweza anzia hapo, fursa kwa kampuni zinazotoa mabasi manne/ matatu kwa Dar/MwzMabasi ruti za mkoa wa Mara ..ambazo Huwa zinaenda karibu Mara nne Kwa siku ,,yataipa mapato sana stendi hyo ..5000*4 na zipo kampuni nyingi..
Sawa na ruti ya kahama
Ilo ni wazo zuri litasadia stand kuingiza mapato, pia itawarahisishia abiria wanaoishi maeneo ya mabatini hadi kisesa kutosumbuka kuamka usiku usiku Kwa ajili ya safari....Sasa hivi wameruhusu hata kampuni zenye root ya Dar wanaweza anzia hapo, fursa kwa kampuni zinazotoa mabasi manne/ matatu kwa Dar/Mwz
Malaika kwishney???Leo nimetoka job nikasema ngoja nipite kidogo kwenye project ya mtu mwenye pesa hapa kanda ya ziwa lakini hafaamiki si mwingine bali ni MEB, huyu muhindi tajiri mkubwa wa Mwanza nazani hakosi kwenye top 5 ya matajiri wakubwa hapa Tanzania, kumbe lile dude lake ya capripoint nilikuwa nalichukulia poa, kumbe sio nazana hakutakuwa na hotel hapa Mwanza kama ya huyu Bilionea MEB.
Hiyo hotel ndo hyo MS au?MEB ana miliki kiwanda cha Mwanza steel, anamiliki kiwanda cha gas, mahotel, kiwanda cha plastic, kiwanda cha mabati, kiwanda cha maplastic.
MEB akapeleka offer 2.5 bilion kwa makonda ampe lile gorofa lake la capripoint lilimshinda kumalizia lakini makonda anataka bilion3.5 ila muda wowote hilo gorofa la makonda litakuwa ni mali ya huyu mlamba asali MEB.
Hamna wa kumzidi malaika Kwa sasa..Kwa sababu ya location yakeMalaika kwishney???
Mkuu nimetembea uwwkezaji alioufanya kule kwenye kilima cha capripoint ata serikali ungeipa miaka 20 isingeweza kufanya hivyo, mtu mlima wote kuzunguka eneo lake katengeneza eneo flat utazan tambarare ya serengeti, alafu parking ya magari zipo gorofa sita pia, mkuu nenda kajione. Nimeongea na engeneer mkuu wa hapo kaniambia adi ulipofikia ujenzi ameshatumi kama bilion 60 adi kuisha itakuwa 72 bilion.Malaika kwishney???
Hakika ya bilionea MEBHiyo hotel ndo hyo MS au?
Acha kuongea vitu ambavyo ujaona nenda kaone kwa macho huyo malaika ni bwege tu nakuambia, ata mimi nilikuwa na mawazo kama yako lakini leo nimejiona bwege, hiyo hotel ni hakuna na wala sijawahi kuona, kusawazisha eneo na kutengeneza tambarare juu ya mlima kupata garden kubwa na muhonekano mzuri, na kutengeneza sehemu ya michezo mbalimbali si mchezo mkuu.Hamna wa kumzidi malaika Kwa sasa..Kwa sababu ya location yake
Mi sijafika hapo ,na mwanza nimeondoka mwezi wa nne ..Kwa hiyo anything proceeding there napata kupitia jf au Twitter....hyo niliacha iko floor ya piliAcha kuongea vitu ambavyo ujaona nenda kaone kwa macho huyo malaika ni bwege tu nakuambia, ata mimi nilikuwa na mawazo kama yako lakini leo nimejiona bwege, hiyo hotel ni hakuna na wala sijawahi kuona, kusawazisha eneo na kutengeneza tambarare juu ya mlima kupata garden kubwa na muhonekano mzuri, na kutengeneza sehemu ya michezo mbalimbali si mchezo mkuu.
Malaika bado naipa nafasi Kwa sababu ya facilities wa ukumbi wa mikutano,wana beach safi ,wana every suites ambayo standard and deluxe hotel inapaswa iweAcha kuongea vitu ambavyo ujaona nenda kaone kwa macho huyo malaika ni bwege tu nakuambia, ata mimi nilikuwa na mawazo kama yako lakini leo nimejiona bwege, hiyo hotel ni hakuna na wala sijawahi kuona, kusawazisha eneo na kutengeneza tambarare juu ya mlima kupata garden kubwa na muhonekano mzuri, na kutengeneza sehemu ya michezo mbalimbali si mchezo mkuu.
Sasa billion 72 si kama Ile nssf hotel ...Kwa sababu rock city mall yenyew ni billion 60Mkuu nimetembea uwwkezaji alioufanya kule kwenye kilima cha capripoint ata serikali ungeipa miaka 20 isingeweza kufanya hivyo, mtu mlima wote kuzunguka eneo lake katengeneza eneo flat utazan tambarare ya serengeti, alafu parking ya magari zipo gorofa sita pia, mkuu nenda kajione. Nimeongea na engeneer mkuu wa hapo kaniambia adi ulipofikia ujenzi ameshatumi kama bilion 60 adi kuisha itakuwa 72 bilion.
Ungetuma picha mkuu ingenoga sana. All in all Capri point pako hot sana.Acha kuongea vitu ambavyo ujaona nenda kaone kwa macho huyo malaika ni bwege tu nakuambia, ata mimi nilikuwa na mawazo kama yako lakini leo nimejiona bwege, hiyo hotel ni hakuna na wala sijawahi kuona, kusawazisha eneo na kutengeneza tambarare juu ya mlima kupata garden kubwa na muhonekano mzuri, na kutengeneza sehemu ya michezo mbalimbali si mchezo mkuu.
Iko mtaa ganmsukuma ameshamaliza ujenzi wa nyumba yake na familia yake ametumia 1.2bilioni tazamana finishishi ya king msukuma![]()