Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Kwani Ile ya Ms ni nyota ngapSawa mkuu nitajaribu ila itakuwa kubwa kuliko.ya pale capripoint ya tajiri wa MS company.
Kwani Ile ya Ms ni nyota ngapSawa mkuu nitajaribu ila itakuwa kubwa kuliko.ya pale capripoint ya tajiri wa MS company.
Walitakiwa kufikisha tano tatizo eneo la michezo ya watoto na parking ya kutosha ya magari zimewarudisha nyuma, sana sana 4 star kama gold crest hotel.Kwani Ile ya Ms ni nyota ngap
Sawa mkuu,niliwahi kusikia Wananzengo wanasema pia lile jengo la Eka clif kule Isamilo Ni la mapesa sijui Kama stories au lah.Vigogo wakubwa wenye pesa na sio visenti mkuu lakini wengi wanasema kikwete na wenzake, wengine wanasema bwana mapesa Moses cheyo.
Hilo jengo la gorofa 10 ni lake mzee mapesa.Sawa mkuu,niliwahi kusikia Wananzengo wanasema pia lile jengo la Eka clif kule Isamilo Ni la mapesa sijui Kama stories au lah.
Mzee mapesa ndyo naniHilo jengo la gorofa 10 ni lake mzee mapesa.
Arusha👇👇👇Katika suala la uwanja wa ndege ...palipofikia sio Haba ...katika kitu ambacho Hadi leo Huwa kinaniumiza ni kujenga Barbara ya airport wasiweke taa .sijapata kuona aisee .arusha wamejengew zikawekwa taa .shy town pale Kuna taa za kutosha ,..walikosa hela au nini tatizo bas hata halmashauri kutoa bilioni 1 mapato ya ndani ilishindwa
Walamba asali wa zaman hao, tukiwa watoto tunasimuliwa na babu zetu, ni mwanasiasa nguli wa chama cha UDP sijui pesa zake alizitoleaga wapi, baba alinisimulia alikuwa ana pesa nyingi sana, jina lake kamili ni John Moses cheyo ni msukuma wa kariba ya wakina Antony Diallo.Mzee mapesa ndyo nani
Ahaa .hapo sawaWalamba asali wa zaman hayo tukiwa watoto tunasimuliwa na babu zetu, ni mwanasiasa nguli wa chama cha UDP sijui pesa zake alizitoleaga wapi, baba alinisimulia alikuwa ana pesa nyingi sana, jina lake kamili ni Moses cheyo ni msukuma wa kariba ya wakina Antony Diallo.
Duh kumbe pesa iko aiseee.Hilo jengo la gorofa 10 ni lake mzee mapesa.
Ukibahatika kutembea nchi za wenzetu kuna ustaarabu mkubwa sana kwenye stendi zao.Wenye ofisi za ticket milango ya ofisi itakuwa nje ya stand, kwa hiyo ukiishakuwa na ticket tayari ni passport. Kama ni hivyo ustaarabu ndani ya stand utakuwepo.
Katika sehemu ambapo halmashauri zote zimezubaa na kuna pesa ni uendeshaji wa usafiri mijiniKwamba halmashauri wamekosa strategy za mapato..hv ilemela wameshindwa nini kujenga recreation center au hata kuanzisha kampuni la usafirishaji abiria mjini ..si wangekuwa na mapato ya kutosha .... halmashauri za bongo ziko politically mkurugenzi haji na ubunifu
Bukoba itajengwa stendi mpya piaBasi na Bukoba labda wataendelea na ujenzi wa ile stendi ...maana ya sasa imezidiwa mno
Maeneo hayo pia kuna ujenzi utakuja wa marine rescue center, tusisahau Airport terminal 2 hata wajisahaulishe vipi wataijenga tu kwa sasa.Mwanza kumekuchaaa, ujenzi wa hotel kubwa sana maeneo ya malaika beach render inasema ni gorofa saba na sasa wapo hatua ya msingi hii ni hotel ya zaidi ya nyota tano, mama endelea kuwalambisha asali wazidi kuleta mahotel makubwa kama haya kwenye jiji la Mwanza, Ilemela kucheleee.
Swala hili limebaki pending, wacha tuone labda mpaka Nyanzaga gold mining ikianza watakuwa serious na HQ MwanzaKipind kile magufuli anaiingia mkataba na barrik na kutengenez kampuni ya twiga ..walisema makao makuu yatakuwa mwanza .hii ishu iliishia wap
Pia kulikua na makubaliano ya kujenga upya barabara ya Kenyatta toka Mwanza mjini hadi Shinyanga...Kipind kile magufuli anaiingia mkataba na barrik na kutengenez kampuni ya twiga ..walisema makao makuu yatakuwa mwanza .hii ishu iliishia wap
Kuna hotel duniani inazid 5 star? Huo mchoro uko wapMwanza kumekuchaaa, ujenzi wa hotel kubwa sana maeneo ya malaika beach render inasema ni gorofa saba na sasa wapo hatua ya msingi hii ni hotel ya zaidi ya nyota tano, mama endelea kuwalambisha asali wazidi kuleta mahotel makubwa kama haya kwenye jiji la Mwanza, Ilemela kucheleee.
Burj Al Arab-Dubai,hotel yao hio wanaiita 7 Star hotel.Kuna hotel duniani inazid 5 star? Huo mchoro uko wap
Mkuu mbwembwe tu nilitaka kueleza kuwa itakuwa kali balaa , mengine kausha mjini hapa😂😂😂Kuna hotel duniani inazid 5 star? Huo mchoro uko wap