Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Mwanza kumekuchaaa, ujenzi wa hotel kubwa sana maeneo ya malaika beach render inasema ni gorofa saba na sasa wapo hatua ya msingi hii ni hotel ya zaidi ya nyota tano, mama endelea kuwalambisha asali wazidi kuleta mahotel makubwa kama haya kwenye jiji la Mwanza, Ilemela kucheleee.

