Hata kiuongozi, Ilemela kwasasa wako vizuri sana.
Mwaka Jana, Wizara ya fedha ilikopesha Halmashauri 55 ( Awamu ya kwanza ) ili zipime viwanja na kuuza kwa Wananchi.
Ilemela wanapima Nyafla na Sangabuye. Na hata ambao hatuko Mwanza wanatoa updates kila kitu.
Lakini Nyamagana wanapima Lwahnima lakini haijulikani hata wanafanya Nini. Wapo wapo tu!