Sina uhakika labda Mbunge wao sio msumbufu kwa wizara husika. Ilemela ni mpya lakini inakuja kasi sana kuliko Nyamagana.
Nyamagana wapo nyuma kwa kila kitu mpaka usimamizi wa miradi.
Wakati mkuu wa mkoa anakabidhiwa stendi ya Nyamhongolo aliwasifu watenndaji wa Ilemela na kuwaambia watu wa Jiji waje Ilemela wajifunze namna ya kusimamia miradi iishe kwa wakati.