fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
- Thread starter
- #61
Sikuelewi unajisifu kupata 19% vile kuna mjinga Fulani amepata 5%? Mi naongelea manispaa tena ya ilemela na Nyamagana jiji;
Kuna Halmashauri zimemaliza miaka mitano hata Km 5 za lami hawajapata.
Na hiyo uliyosema Airport Igombe Kayenze,binafsi nmepita wiki mbili zimepita nikiwa naenda Kayenze nikitumia Volts,speed yangu ilikuwa 80 hadi 100 sijui ni ipi unayoongolea wewe.
Kweli kuna changamoto sana ya barabara za mitaani Mwanza lakini kwa hizi kubwa