Mwanza barabara kikwazo (Ilemela imekithiri)

Sikubaliani na wewe ila nadhani imejengwa kama mbadala wa ile inayoingia ndani ya uwanja kwa waendao Igombe kupisha ujenzi wa uwanja wa ndege mpya unaoendelea,,
Sawa kabisa. Pia kuna jengo ndege za mizigo zinapakilia na kushushia huko. Panga boy ya mwisho ilipokelewa hapo ilipotoka matekani Canada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kwanza asante kwa maelezo yako, I guess uko jikoni na umeandika yale ya kweli na kweli tupu. Swali ni kwanini hatujengi barabra kwa pesa za kodi zetu hapa ilemela na serikali kuu? wafadhili kila mara baadaye tunakataa utumwa na kukejeliwa na hawa hawa mabeberu, miaka mitano kila mwaka tunalipa kodi hakuna barabara wakati hakika ni kipaumbele haiwezekani manispaa ua jiji liwe na brabara za tope ndani ya kilomita 10 za nusu kipenyo, hapana aiseeee.

saloon cars zitapitaje sasa na sampogadi zinapasuka , mweee muwe na huruma ya kutenda haki wananchi kwa kodi zao

Wakuu hata kama sio kwa pesa za ndani ni pesa za wafadhili Ilemela kwa mwaka ulioisha imejenga Km 12 za barabara kwa kiwango cha lami. Sabasaba-Buswelu, Mjimwema-Big bite, Nera-Kigoto/ Mwaloni.

"Hatua hii imetokana na usimamizi mzuri wa miradi ya TSCP ambapo wafadhili wamekuwa wakiridhika na kuendelea kutoa fedha kila mwaka. Mpango ujao ni kujenga kwa kiwango cha lami barabara za Kahama – Kabusungu – Kayenze, Mbogamboga – Nyamadoke – Nyamhongolo, Buswelu – Cocacola na Pasiansi – Lumala – Kiseke. Tayari maandiko ya miradi hiyo yanaendelea kufanyiwa kazi na mradi wa TSCP."

Sipo kusifia kila kitu, ila ni bora kidogo kuliko kukosa kabisa, Tujiandae kwa miradi ijayo barabara za Kahama – Kabusungu – Kayenze, Mbogamboga – Nyamadoke – Nyamhongolo, Buswelu – Cocacola na Pasiansi – Lumala – Kiseke.

http://www.ilemelamc.go.tz/storage/app/uploads/public/5d7/8b0/f04/5d78b0f046dc6745412498.pdf

ILEMELA ni yetu, tushirikiane kuijenga.
 
Nitamtetea sana Mama Angel Mabula wa Ilemela kajitahidi sana mpaka hapo nafikiri ni maeneo machache sana ambayo bado yanahitaji nguvu,,

Kwa upande wa Stan Mabula wa Nyamagana namshauri ajiandae tu kufungasha vilago arudi kwenye kazi yake ya ulinzi,,
Nadhani mabula wa ilemela ni mbunge wa hovyo kuwahi kutokea!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii barabara ya Mkuyuni-Butimba naona tayari lami,hivi hadi ule mchepuko wake wa kuelekea Chuo cha Uvuvi/TAFIRI uliwekwa lami?

Kuna ka-beach huko ilikuwa balaa sana enzi hizo.
Mkuyuni kupitia Magereza Mpk Butimba TTC Ni lami Ila ule mchepuko unaopita Magereza Hadi TAFIRI/FISHERIES ni vumbi Sana tu..

Typed Using KIDOLE
 
Ilemela ndio hakuna kitu kabisa, heri Nyamagana kama ni mbunge basi Mabula Kijana is far better than Mrs Mabula
Nyamagana kuko vizuri alafu wakusifiwa sio Mabula ni Wenje hizi barabara ni za Wenje.

Kishiri shida barabara haiko tena
 
Hakuna kinachonikera mwanza kama stend kuu ya mabasi ya nyegezi hiv sasa. Yan barabara hkuna apo stend. Ukiingiza gar unalipa 1000 pesa ya stend. Kule buzuruga unalipa 500.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kwanza asante kwa maelezo yako, I guess uko jikoni na umeandika yale ya kweli na kweli tupu. Swali ni kwanini hatujengi barabra kwa pesa za kodi zetu hapa ilemela na serikali kuu? wafadhili kila mara baadaye tunakataa utumwa na kukejeliwa na hawa hawa mabeberu, miaka mitano kila mwaka tunalipa kodi hakuna barabara wakati hakika ni kipaumbele haiwezekani manispaa ua jiji liwe na brabara za tope ndani ya kilomita 10 za nusu kipenyo, hapana aiseeee.

saloon cars zitapitaje sasa na sampogadi zinapasuka , mweee muwe na huruma ya kutenda haki wananchi kwa kodi zao
http://www.ilemelamc.go.tz/storage/app/uploads/public/5d7/8b0/f04/5d78b0f046dc6745412498.pdf Fungua link usome, ndio utoe hukumu.

1586322794060.png
 
Mkuyuni kupitia Magereza Mpk Butimba TTC Ni lami Ila ule mchepuko unaopita Magereza Hadi TAFIRI/FISHERIES ni vumbi Sana tu..

Typed Using KIDOLE
Hicho kipande cha Mkuyuni Butimba kimejengwa 2013 hadi 2014 mwanzoni.
 
Ilemela ndio hakuna kitu kabisa, heri Nyamagana kama ni mbunge basi Mabula Kijana is far better than Mrs Mabula
ahaaa wap mabula wote hawafaii
tena huyo mabula male ndo hajielewi kabisa
nyamagana mitaan iko hovyo sana
 
KUelekea uchaguzi mkuu, Mwanza kama zamani za miaka ya 2000, tatizo limebaki kuwa barabra zetu. Miaka hiyo nimekumbuka barabara ya city centre to Airport, ilikuwa kichomi cha hatari.

Leo Mwanza barabra bado ni tatizo kubwa, Kishiri-Buhongwa, Igoma Kishiri, Kishiri Fumagila, Buhongwa -Bulale, Buswelu-Busenga-Coca, Buswelu-Kahama, Airport-igombe-Kayenze, Nyakato - uswelu, Buzuruga-Mahina, Mahina-Bugando, Mahina -Nyangukukuru-Mkuyuni, Mahina-VicFish/Mwatex, Buswelu-Nyamhongolo-Igoma, Nanenane Ndofye Kishiri.

Barabara zote hizo ni tope na zinapitika kwa shida mawe makubwa sampo zinapasuka, barabara zote hizo zipo kwenye wastaniwa radius ya 8km tu kutoka city centre.

Swali ni je Angelina, Serikali kuu bado mnafikiria jiji lenye tope na barabara zisizopitika? Ile ya Nyakato Buswelu, Shule ya msingi Gedeli inakula vumbi kuliko masomo, kweli?

Hivi bajeti ya Manispaa ya ilemela ni chai, safari na posho tu? maana hakuna barabara hata moja mmejenga kama manispaa, ipi? kiseke ni worldbank. barabara ipi tangu muwe manisapaa imejengwa?
Weka na picha mkuu. Wengine hatujawahi kufika Mwanza
 
Wakuu hata kama sio kwa pesa za ndani ni pesa za wafadhili Ilemela kwa mwaka ulioisha imejenga Km 12 za barabara kwa kiwango cha lami. Sabasaba-Buswelu, Mjimwema-Big bite, Nera-Kigoto/ Mwaloni.

"Hatua hii imetokana na usimamizi mzuri wa miradi ya TSCP ambapo wafadhili wamekuwa wakiridhika na kuendelea kutoa fedha kila mwaka. Mpango ujao ni kujenga kwa kiwango cha lami barabara za Kahama – Kabusungu – Kayenze, Mbogamboga – Nyamadoke – Nyamhongolo, Buswelu – Cocacola na Pasiansi – Lumala – Kiseke. Tayari maandiko ya miradi hiyo yanaendelea kufanyiwa kazi na mradi wa TSCP."

Sipo kusifia kila kitu, ila ni bora kidogo kuliko kukosa kabisa, Tujiandae kwa miradi ijayo barabara za Kahama – Kabusungu – Kayenze, Mbogamboga – Nyamadoke – Nyamhongolo, Buswelu – Cocacola na Pasiansi – Lumala – Kiseke.

http://www.ilemelamc.go.tz/storage/app/uploads/public/5d7/8b0/f04/5d78b0f046dc6745412498.pdf

ILEMELA ni yetu, tushirikiane kuijenga.

Mbona SHIBULA haimo kwenye huo mpango wa lami? maana naona Lami itapita huko Kahama kuelekea ilalila na kwingineko, kwa hiyo SHIBULA hiyo lami haipiti kwenda NYAMWILOLELWA-TX -IGOMBE hadi KAYENZI kwa hiyo lami itapita nyuma huko? sijaelewa huo mpango
 
Kipaumbele ni Hospital ya Wilaya iliyopo Kabusungu na kuunganisha Kayenze na Halmashauri kwa njia ya lami.
 
KUelekea uchaguzi mkuu, Mwanza kama zamani za miaka ya 2000, tatizo limebaki kuwa barabra zetu. Miaka hiyo nimekumbuka barabara ya city centre to Airport, ilikuwa kichomi cha hatari.

Leo Mwanza barabra bado ni tatizo kubwa, Kishiri-Buhongwa, Igoma Kishiri, Kishiri Fumagila, Buhongwa -Bulale, Buswelu-Busenga-Coca, Buswelu-Kahama, Airport-igombe-Kayenze, Nyakato - uswelu, Buzuruga-Mahina, Mahina-Bugando, Mahina -Nyangukukuru-Mkuyuni, Mahina-VicFish/Mwatex, Buswelu-Nyamhongolo-Igoma, Nanenane Ndofye Kishiri.

Barabara zote hizo ni tope na zinapitika kwa shida mawe makubwa sampo zinapasuka, barabara zote hizo zipo kwenye wastaniwa radius ya 8km tu kutoka city centre.

Swali ni je Angelina, Serikali kuu bado mnafikiria jiji lenye tope na barabara zisizopitika? Ile ya Nyakato Buswelu, Shule ya msingi Gedeli inakula vumbi kuliko masomo, kweli?

Hivi bajeti ya Manispaa ya ilemela ni chai, safari na posho tu? maana hakuna barabara hata moja mmejenga kama manispaa, ipi? kiseke ni worldbank. barabara ipi tangu muwe manisapaa imejengwa?
Fikirikwanza,
Katika barabara ulizotaja naona zingine zinapitika tena kwa uzuri kabisa. Mfano umesema barabara ya Buswelu Gedeli,hiyo barabara ilibadirishwa na kuwekwa coca Buswelu na hiyo ya Gedeli iko kwenye mpango wa kuwekewa lami.
Buhongwa Bulale hata ukiebda sasa hivi mkandaradi yuko kazini na Buhongwa Kishiri via Igoma nayo imechongwa majuzi kati na inapitika tu vizuri.
Labda kama hiyo ya machinjioni kweli ni mahandaki. Lakini zingine zinapitika japo kwa kiwango cha moramu.
Na hiyo uliyosema Airport Igombe Kayenze,binafsi nmepita wiki mbili zimepita nikiwa naenda Kayenze nikitumia Volts,speed yangu ilikuwa 80 hadi 100 sijui ni ipi unayoongolea wewe.
Kweli kuna changamoto sana ya barabara za mitaani Mwanza lakini kwa hizi kubwa kubwa hawa TARULA wanajaribu kwa kiasi chao.

Kuna Halmashauri zimemaliza miaka mitano hata Km 5 za lami hawajapata.
 
Back
Top Bottom