Mwanza barabara kikwazo (Ilemela imekithiri)

Ninachofahamu Ni ukivuka tu lile daraja la mto mirongo Kama sijakosea kunakofata kote Huko Ndio Ilemela

Typed Using KIDOLE
1587449036654.png

Nyamagana Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location

1587448898525.png

Ilemela Municipal (Municipality, Tanzania) - Population Statistics, Charts, Map and Location
 
barabara za vumbi manispaani? hahahahahah kaangalie kama barabra za vumbi sasa zinapitika
 
KUelekea uchaguzi mkuu, Mwanza kama zamani za miaka ya 2000, tatizo limebaki kuwa barabra zetu. Miaka hiyo nimekumbuka barabara ya city centre to Airport, ilikuwa kichomi cha hatari.

Leo Mwanza barabra bado ni tatizo kubwa, Kishiri-Buhongwa, Igoma Kishiri, Kishiri Fumagila, Buhongwa -Bulale, Buswelu-Busenga-Coca, Buswelu-Kahama, Airport-igombe-Kayenze, Nyakato - uswelu, Buzuruga-Mahina, Mahina-Bugando, Mahina -Nyangukukuru-Mkuyuni, Mahina-VicFish/Mwatex, Buswelu-Nyamhongolo-Igoma, Nanenane Ndofye Kishiri.

Barabara zote hizo ni tope na zinapitika kwa shida mawe makubwa sampo zinapasuka, barabara zote hizo zipo kwenye wastaniwa radius ya 8km tu kutoka city centre.

Swali ni je Angelina, Serikali kuu bado mnafikiria jiji lenye tope na barabara zisizopitika? Ile ya Nyakato Buswelu, Shule ya msingi Gedeli inakula vumbi kuliko masomo, kweli?

Hivi bajeti ya Manispaa ya ilemela ni chai, safari na posho tu? maana hakuna barabara hata moja mmejenga kama manispaa, ipi? kiseke ni worldbank. barabara ipi tangu muwe manisapaa imejengwa?
Keel kabxa mkuu
 
Kuna hii ya Luchelele kutokea chuo pale Saut ni kama imesahaulika miaka yote
 
Nimesikia Barabara ya Buswelu-TX imeongelewa kwenye clip hii
 
Back
Top Bottom