Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,425
- 191,638
Ofcourse mkuu naona unantaftia njaa tumkuu hivi Moshi ni Mkoa?😊
Ofcourse mkuu naona unantaftia njaa tumkuu hivi Moshi ni Mkoa?😊
Mkoa ni Kilimanjaro na Moshi ilikuwa ni wilaya moja hapo awali ila sasa imegawanyika kuna wilaya ya Moshi Mjini(maanispaa) na Wilaya yaMoshi Vijijini. Ila wilaya zote kama mjini tu kwa standard ya life na maendeleo. Mfano, Marangu Hotel na Kibo Hotel ziko Moshi Vijijini katikati ya mikahawa na migomba. Kweli Moshi imeendelea zamani.Ofcourse mkuu naona unantaftia njaa tu
Mtwara kuna nini kisicholika?Sehemu sipendi ni Mtwara na Iringa na penyewe ni kwa sababu unaweza kujikuta umekula visivyolika
Totoz za kufa mtu Kuna siku nilikuwa na bargain kimtindo Mara zikaja nyingine kusonya eti huyu kaka mbabaishaji Hana kitu atatutia shombo katoka the liquid kashindwa Bei kumbe mwenzao natafuta yenye bambataa mashaalah maana hizi night club Ni zero distance ila Bk Ni shidraaaaaKuna nini cha ziada mkuu
Noma sanaTotoz za kufa mtu Kuna siku nilikuwa na bargain kimtindo Mara zikaja nyingine kusonya eti huyu kaka mbabaishaji Hana kitu atatutia shombo katoka the liquid kashindwa Bei kumbe mwenzao natafuta yenye bambataa mashaalah maana hizi night club Ni zero distance ila Bk Ni shidraaaaa
Moshi my favourite region
Moshi is not aregion is adistrict
Sawa mkuu mi nimependa kuuita mkoa, ni rahisi kwangu kuutambulisha hivyo....we baki na jina sahihi ila nadhani tumeelewana.Kamanda samahani Moshi sio Mkoa ,,karibu huku msaranga sisi tunakuywa gongo ,baadae tutaenda KB kusuuza ulimi
Moshi my favourite region
[/QUOTE
Moshi ni wilaya Mkuu
Sawa mkuu mi nimependa kuuita mkoa, ni rahisi kwangu kuutambulisha hivyo....we baki na jina sahihi ila nadhani tumeelewana.
Anasema panya labdaMtwara kuna nini kisicholika?
Moshi is not a Region Sir,it's a town found in Kilimanjaro region.Moshi my favourite region
Ni kweli Mkuu Tanga nimepakubali kuna kiwanja cha kula bata kabla hujafika kwa Minchi upande wa kushoto unatembea hatua chache toka barabara ya kwenda mjini unakutana na TANGA PAZURI kiwanja kimechangamka sana halafu totoz za ukweli dizaini kama waarabu. Ukitoka hapo ukiendelea mbele unakutana na KIJIJI LOUNGE ni hatari tupu pia.Nakubali kuhusu Moshi na Mwanza ika Arusha sio kiviiiile, Bukoba haipo nyuma nilikua hapo Mint aiseeeee balaaaaa. My all time favourite place ni Moshi na Tanga aiseeee balaaaaa. Zanzibar kuna uoga mwingi sana. Daslam mama lao, kwa ww uliyeuliza vipi kuhusu Dar ila sema mileage zimesoma sana DSM ila totoz za Mwanza na Bukoba mbichi mbichi. Ila kuwa makini kuna za Dar zinakimbilia huko.
Sehemu sipendi ni Mtwara na Iringa na penyewe ni kwa sababu unaweza kujikuta umekula visivyolika
Nimeolea kule mkuu, Kuna wakati niliona likizo yangu ya mwezi nikaimalizie huko, lahaula....nilikaa wiki TU nikaaga....yaani Ni mkoa ambao watu wake wapo wapo TU ilimradi kunakucha....