Mwanza: Ajali iliyoua watu 6 wakifanya mazoezi, dereva afikishwa mahakamani, asomewa makosa 15

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Dereva ambaye anatajwa kuhusika katika ajali ya gari iliyopoteza maisha ya watu 6 waliokuwa wakifanya mazoezi pembezoni mwa Barabara ya Sabasaba – Kiseke amepandishwa Mahakamani na kusomewa shtaka moja lenye makosa 15, leo Agosti mosi, 2023.
Dereva.jpg

Mtuhumiwa ni Osward Kaijage Binamungu aliyekuwa akiendesha gari la Toyota Hilux (T476 BZL) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela.

Tukio la ajali lilitokea eneo la Shule ya Msingi Lumala Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza mnamo Julai 22, 2023 ambapo pia watu 9 walijeruhiwa.

Kesi hiyo namba 27 ya Mwaka 2023 imesomwa na Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Anitha Mweri na Mwanahawa Changale wameiambia Mahakama kuwa Osward anakabiliwa na shtaka la kuendesha gari kwa spidi kubwa na kusababisha vifo vya watu sita na kujeruhi watu tisa.

Waendesha mshtaka wamewataja waliopoteza maisha kuwa ni Hamis Nehemiah, Selestine Daudi, Makongoro Manyanda, Peter Fredrick, Amani Matinde na Shadrack Safari.

Waliojeruhiwa kwa kusababishiwa madhara mwilini ni Remidius Ponsian, Grace Chacha, Baraka Jeremiah, Steven Samwel, Maulid Mashaka, Patrick Mathias, Godfrey Benard, Peter Henry na Magnus John.

Mashtakiwa alikana shtaka hilo baada ya kusomwa Mahakamani ambapo upande wa Serikali ukaomba ipangwe tarehe nyingine kwa ajili ya kusoma hoja za awali kufuatia upelelezi wa kesi hiyo kukamilika.

Upande wa utetezi ukaomba dhamana na kudai mshtakiwa ametoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi, yupo tayari kufuata masharti ya dhamana na kuwa afya yake haipo sawa tangu kutokea kwa ajali hiyo.

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilemela, Amani Sumari akasema dhamana ipo wazi.

Mshtakiwa akafanikisha kutoka kwa dhamana, kesi yake inatarajiwa kuendelea Agosti 10, 2023 kwa ajili ya Hoja za Awali.

Gari.JPG

Pia soma: Mwanza: Ajali iliyoua watu 6 wakifanya mazoezi, dereva afikishwa mahakamani, asomewa makosa 15
 
Hii kesi simple sana,baada ya miaka miwili naamini atakuwa yupo huru anaendelea kumeza bia,hakuna kosa hapo,chuma haikuhama barabarani
 
Dereva ambaye anatajwa kuhusika katika ajali ya gari iliyopoteza maisha ya watu 6 waliokuwa wakifanya mazoezi pembezoni mwa Barabara ya Sabasaba – Kiseke amepandishwa Mahakamani na kusomewa shtaka moja lenye makosa 15, leo Agosti mosi, 2023.
View attachment 2705289

View attachment 2705291

Pia soma: Mwanza: Ajali iliyoua watu 6 wakifanya mazoezi, dereva afikishwa mahakamani, asomewa makosa 15
Hawa watu wanaofanya mazoezi pembezoni mwa barabara huwa najiuliza sana kwann wasiwe wanaenda kwenye viwanja vilivyo wazi au gym.🤔🤔
 
Hawa watu wanaofanya mazoezi pembezoni mwa barabara huwa najiuliza sana kwann wasiwe wanaenda kwenye viwanja vilivyo wazi au gym.
Uko sawa japo masuala ya kukimbia au kufanya mazoezi barabarani (pembezoni)yapo Kila mahali lakini pia nje ya kulaumu wakimbiaji kwa mijini kukuta watu wanatembea au kufanya shughuli pembezoni mwa barabara ni kawaida hivyo basi madereva wa vyombo vya moto ni vema wakazingatia sheria za barabarani
 
Unachosema nikweli lakini wengi wa watembea kwamiguu barabarani hawatembei katika upande wanaotakiwa watembelee. Nasema haya maana namimi nidereva na ninaona haya kilasiku
 
Nakuelewa nami pia ni dereva ambae Kila siku kasoro jumapili huwa Niko njiani kwa sehemu kubwa sana barabara zetu hujengwa bila kuwazingatia pedestrians(watembea kwa miguu) ni vema sisi ambao tunaendesha vyombo tujitahidi kwa kadri uwezavyo kuwalinda huku nao pia wakifanya Kila wawezalo kujilinda ajali zimekuwa nyingi sana nchini hata hapa naangalia azam naona ajali manyara
 
Dereva ambaye anatajwa kuhusika katika ajali ya gari iliyopoteza maisha ya watu 6 waliokuwa wakifanya mazoezi pembezoni mwa Barabara ya Sabasaba – Kiseke amepandishwa Mahakamani na kusomewa shtaka moja lenye makosa 15, leo Agosti mosi, 2023.
View attachment 2705289
Mtuhumiwa ni Osward Kaijage Binamungu aliyekuwa akiendesha gari la Toyota Hilux (T476 BZL) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela.

Tukio la ajali lilitokea eneo la Shule ya Msingi Lumala Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza mnamo Julai 22, 2023 ambapo pia watu 9 walijeruhiwa.

Kesi hiyo namba 27 ya Mwaka 2023 imesomwa na Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Anitha Mweri na Mwanahawa Changale wameiambia Mahakama kuwa Osward anakabiliwa na shtaka la kuendesha gari kwa spidi kubwa na kusababisha vifo vya watu sita na kujeruhi watu tisa.

Waendesha mshtaka wamewataja waliopoteza maisha kuwa ni Hamis Nehemiah, Selestine Daudi, Makongoro Manyanda, Peter Fredrick, Amani Matinde na Shadrack Safari.

Waliojeruhiwa kwa kusababishiwa madhara mwilini ni Remidius Ponsian, Grace Chacha, Baraka Jeremiah, Steven Samwel, Maulid Mashaka, Patrick Mathias, Godfrey Benard, Peter Henry na Magnus John.

Mashtakiwa alikana shtaka hilo baada ya kusomwa Mahakamani ambapo upande wa Serikali ukaomba ipangwe tarehe nyingine kwa ajili ya kusoma hoja za awali kufuatia upelelezi wa kesi hiyo kukamilika.

Upande wa utetezi ukaomba dhamana na kudai mshtakiwa ametoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi, yupo tayari kufuata masharti ya dhamana na kuwa afya yake haipo sawa tangu kutokea kwa ajali hiyo.

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilemela, Amani Sumari akasema dhamana ipo wazi.

Mshtakiwa akafanikisha kutoka kwa dhamana, kesi yake inatarajiwa kuendelea Agosti 10, 2023 kwa ajili ya Hoja za Awali.

View attachment 2705291

Pia soma: Mwanza: Ajali iliyoua watu 6 wakifanya mazoezi, dereva afikishwa mahakamani, asomewa makosa 15
Hii kesi Haina ishu ,ishu ipo idadi ya watu waliofariki Kwa hyo hata yeye hyo nafs itamtesa sana
 
Hizi case za barabarani huwa zina upuuzi mwingi sana unaofanyika, hapo nina uhakika mshtakiwa ni wa mchongo sio muhusika kabisa! Hizi kesi kwenda ndani ni uzembe wako.
 
Back
Top Bottom