Haha sioni kama mimi ni mpole😁😁Kuna miandiko inanichanganya humu mwenzenu,
Mwachiluwi
Poor Brain
mshamba_hachekwi
KENZY
Muda wote wapo kicomedy comedy naonaga kama mtu mmoja ila najua sio mmoja basi tu nawafananisha
Wengine ni hawa
min -me
Half american
Wapole pole flani hivi km waoga waoga miandiko yenu na nyie inafanana
Dichotomous keyLoop hole/ vacuum.
Monetary doctor
Poa kenzo wakeeMambo mrembo..?
Mwandiko wako ndo mpole ila sio weweHaha sioni kama mimi ni mpole😁😁
sawa tusiende mbali sana mi nimekupenda!Poa kenzo wakee
Duh ngoja niingie gugo nijue kama Kuna ukweli.Dichotomous key
Sijawahi kukusoma ukiwa serious wewe labda uanze saivsawa tusiende mbali sana mi nimekupenda!
Kumbe hujasoma biology advanceDuh ngoja niingie gugo nijue kama Kuna ukweli.
Namaanisha wachana na kunisoma zingatia ujumbe wangu!, wewe ukinikubali tu ndoa chapchap!Sijawahi kukusoma ukiwa serious wewe labda uanze saiv
Khaa mtaiita NGOKA sasa😂Shaft
Mimi ni hech key el na siyo sibiji mkuu.Kumbe hujasoma biology advance
DIASTEMAWakuu anejua mwanya ini english
Jiheshimu kutoleana Siri huku,Mimi ni hech key el na siyo sibiji mkuu.
Hujakosea, hapo wote tunapenda mishangazi kama wewe hapo.Kuna miandiko inanichanganya humu mwenzenu,
Mwachiluwi
Poor Brain
mshamba_hachekwi
KENZY
Muda wote wapo kicomedy comedy naonaga kama mtu mmoja ila najua sio mmoja basi tu nawafananisha
Wengine ni hawa
min -me
Half american
Wapole pole flani hivi km waoga waoga miandiko yenu na nyie inafanana
Hapana mkuu dunian wawili wawiliAu ID zote hizo ni zako? Tena pua breini ndo uwiiii mnafanana sana
Ndio nimelipataIna maana una jibu lako tayari?
Ni mchafunzi uyo story zake niulizeeKwakweli hamna baya wadogo zangu mmepoa mada yako ya kufumaniwa sms ilinushtua kiaina maana nakusomaga km baba paroko
Wewe oyuuNna matukio yangu pia namimi ni binadam nna mapungufu yangu ila kwa asilimia kubwa nimenyooka kama rula.
Wakuu anejua mwanya ini english
Air spaceWakuu anejua mwanya ini english