Mwanshangaza wadada wa jf

Hahaha....naona mmeamua kututolea uvivu...lakini mbona Money stunna akijitamba kuwa anae hela huwa mnamdis....!!!

 
Last edited by a moderator:
Kwa wanaume wa jf wanawake tunakuwa na choices mbali mbali kutoka mikoa mbali mbali sio kuwa limited na one place so you have a chance to make a choice.
 
Nimekua nikifuatilia post zenu akina dada wa humu Jf. Nataka mchumba, na details zenu zinaonyesha kuwa ni vifaa vya ukweli. Swali langu ina maana huko mtaani hamuonekani?

hahha dogo unatania ...eti kwa dtails zenu mwaonekana vifaa....mwanamke yeyote anaetafuta mume humu huyo kaa ukijua sio kifaa....wee vifaa wana muda wakuja kutaguta huku...wapo biay wanafongozwa na kutolewa out tuu.
 
Kwa wanaume wa jf wanawake tunakuwa na choices mbali mbali kutoka mikoa mbali mbali sio kuwa limited na one place so you have a chance to make a choice.

mhm tokeni zenu hamna cha choice wala nini semwni market value yenu ipo chini....mikoa tofahti mapenzi ya mbali tangu lini yakadumu?
 

dah! dudu?..
 
Last edited by a moderator:

Daah..........kumbe Mawe ndiyo mpango ee, bora me sijatajwa
 
warembo wa jf nawaona kama dada zangu. usumbufu ninaopata mtaan na facebook unatosha si unajua ukiwa handsome na tajiri mtoto ni tabu.

Preta, windowXP na Mrembo by Nature hebu someni hii maneno hapa...
Nitajitolea kuwafungulia akaunti fesibuku na twita ili muende sawa na huyu pedeshee...hahahah
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…