Mwandosya ajiuzulu?

Mwandosya hajajiuzulu, ni propaganda za watu wenye agenda zao, Ikulu wangetoa statement na siyo "Dira"

hili gazeti sijui lilipataje vibali tuyaache hayo.

hata hivyo chanzo cha ugonjwa wa mh. nini?

Yule ni profesor, tena ingekuwa vp yeye ndo angekua mtawala. Amepima, kaamua kuchukua uamuzi, which I can, say ni wa busara. the way things are, you can get headache every now and then.

Kama ni kweli, nampongeza

Na tumemenza uchunguzi wa kiina, ndani ya system, tungaalia kama ugonjwa huu kama ni wa mungu sawa, lakini kama ni mkono wa mtu, katika kufifisha nguvu za huyu rais wa Mbeya, basi aliyechezesha hujuma hii ya kimaafia hata kaa ishi haishi kamwe. Majibu yote tutayaweka wazi hapa JF.

Kama tanzania hatujawi ota kuwa na vita kama ya biafra basi Mbeya itakuwa ya kwanza. Gibbons Mwaikambo aliondoka kiutata tulikaa kimya, aliondoka Stiven Kibona aliondoka hatukufanya uchunguzi. Sasa hiki ni kizazi kingine, stay tuned!

Mark kwa sasa anapata nafuu taratibu so yuko likizo ya ugonjwa,really operation aliyofanyiwa ni kubwa which requires lots of time to recover.

Haya hiyo sawa kwa sababu za kiafya, UBUNGE wetu anabaki nao wakati tayari anakiri ni mgonjwa? Ugua pole Prof. nakuombea upate nafuu uwe mstaafu.

Nape kumbuka maneno ya Makamba,je umeenda kumjulia hali baba au unapiga politics tu za kuvalisha na kuvuana magamba?

(Mungu aepushie mbali) , kama akiendelea kuugua kwa mda mrefu bado ataendelea kuwa waziri? Kwani sheria na masharti ya ajira ya uwaziri inasemaje kwenye scenario kama hii..

Kabla hajaondoka tunaomba atupe maelezo kuhusu bwawa lilojengwa kule musoma chini ya kiwango likabomoka.

pole nafikiri tatizo siyo lako bali ni kutokujua usimamizi na muundo wa utekelezaji wa miradi kwa serikali kuu na serikali za mitaa umekaaje! usingeweza kuja na hoja hii

Common sense hapa ilikuwa ni wenye taarifa kutupa taarifa juu ya maendeleo yake huko alipo na kumuombea yeye na familia yake a quick recovery; wazazi wenu wanapouguaga huwa mnajikita katika mijadala kama hii?

Mswahili ni mswahili tu, kwake faraja ni Pasaka, Christmas, Idi na siku ambayo mwenzake/jirani anapopata matatizo;

Na tumemenza uchunguzi wa kiina, ndani ya system, tungaalia kama ugonjwa huu kama ni wa mungu sawa, lakini kama ni mkono wa mtu, katika kufifisha nguvu za huyu rais wa Mbeya, basi aliyechezesha hujuma hii ya kimaafia hata kaa ishi haishi kamwe. Majibu yote tutayaweka wazi hapa JF. Kama tanzania hatujawi ota kuwa na vita kama ya biafra basi Mbeya itakuwa ya kwanza.Gibbons Mwaikambo aliondoka kiutata tulikaa kimya,aliondoka Stiven K

mkuu acha vitisho vya kiukabila.kila kabila wakitoa vitisho hvyo nchi itakalika?? Thnk twice before you write somethng.kumbuka utavuna unachopanda...wachaga wakisema juu ya kombe,wamasai wakija na la moringe na wengne nao wakija na wa kwao itakuwaje?? Nonesense.

mkuu acha vitisho vya kiukabila.kila kabila wakitoa vitisho hvyo nchi itakalika?? Thnk twice before you write somethng.kumbuka utavuna unachopanda...wachaga wakisema juu ya kombe,wamasai wakija na la moringe na wengne nao wakija na wa kwao itakuwaje?? Nonesense.

Mkuu semi, watz ni rahisi sana kuamini kwenye Ushirikina,
hawa ndio waliokuwa wakiwapotosha watz juu ya babu wa loliondo, sasa wameaibika sana!

Jaman nimesikia kuwa wazili wa maji na umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya amemuandikia barua JK ya kuomba kujiuzulu nafasi yake.

Mwenye data kamili atumwagie ukweli wa jambo hili.

Source: Dira ya mtanzania.

Unaitowa raha habari yote kwa kuandika Kiswahili kibovu kabisa, hivi huwa mnasoma shule zipi?

Mungu amjalie apone haraka na kurejea katika hali yake ya kawaida ki-afya. Kwangu Mh. Mwandosya ni jiwe la kuu la pembeni kwenye kundi la Sitta.

Wanaomshambulia Sitta wanagonga wrong target. Sitta ni kama sauti ya mtu aliaye nyikani, ambaye anapiga kelele na miluzi mingi ili kuwapoteza mbwa dira wafikiri wanabweka mbele ya mfalme kumbe lah. Mfalme hakutakiwa kujulikana mapema kuepesha mashambulizi ya mapema. Sijuhi labda kuna aliyekuwa mjuvi zaidi yao na kujua Mfalme ni yupi na kuamua naye kumjeruhi kimya kimya?!

Hii hapa chini inanikumbusha mwaka 1999. TOT ilitunga na kufanya mazoezi ya nyimbo za mazishi ya Baba wa Taifa wiki kadhaa kabla ya kutangazwa rasmi Mzee amefariki. Ni kweli kila mmoja atakufa kwa wakati wake ukifika. Na kufa ni kufaana. Lakini pamoja na hayo hiki kitendo hapa chini si cha kiungwana hata kidogo.

198887_10150113828842971_658587970_6437535_8245099_s.jpg

Unaitowa raha habari yote kwa kuandika Kiswahili kibovu kabisa, hivi huwa mnasoma shule zipi?

shule za kata ambazo ccm inajivunia kila kukicha kwamba ni maendeleo makubwa waliyofanikisha kumbe ni kaburi la elimu nchini!

Back
Top Bottom