Mwandishi wa BBC Swahili afariki dunia

Mwandishi wa BBC Swahili afariki dunia

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
MWANDISHI ANNE WAITHERA WA BBC

ANNE.jpg


MWANDISHI wa BBC kutoka nchini Kenya, Anne Waithera amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu akisumbuliwa na maradhi ya saratani. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi! AMEN!
 
ANNE.jpg

May you rest in eternal peace Anne
 
R.I.P Anne, juzi tu tilimpotez Komla Domar!!! Poleni BBC kwa mapigo mfulilizo!!
 
Siku ya kufa, siku ya kufa wandugu kwaheri.... BBC kwaheri ..

Marehemu Dr Remi Ongola
 
Hakika ahadi ya Mungu ni yenye kutimia.
Pumzika kwa amani mpendwa wetu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen
 
Back
Top Bottom