Yaan mwanamke hachungwi babu yangu aliniambia ...huwa akilitaka lake huwa hawashindwihii kweli na akiona unamfuatilia ndiyo atachapwa sana hawa viumbe sijui wakoje
hahahha umeona eeeHawaaminikagi hao, we jitie ujasiri tu !
Sana kabisaaa ,maana umezungumza maneno yenye maana na afya tele...yaan mwanamke ukimchunga kinachofata ni kukufanyia kusudi maana sikashakujua udhaifu wako lazima akurushe rohoWivu ukipita kiasi hua ni maradhi, tena mabaya! Kumvua chupi mkeo ili umkague, kukaguakagua simu yake, kumpiga eti kwajili unawivu nae ni udhalilishaji wa hali ya juu, na nitashangaa kama kuna mwanamke wa kileo anakubali afanyiwe hivo. Wivu wa kiasi ni dalili ya kupenda mtu ila ukizidi na kugeuka udhalilishaji utasema hayo ni mapenzi?
Kama haumuamini mwenzio kiasi hicho unaishi nae wanini sasa? Tafsiri yake ni kua umemuona ni chupi mkononi na anaweza kufanywa wakati wowote, popote na yoyote. Umemtoa utu wake kwamba hana maamuzi yake ila wewe ndio unafikiri kwa niaba yake!
Ugonjwa wa wivu kupindukia dawa yake ni kufanyiwa vitu vya makusudi hadi akili ikae sawa
mkuu ukilegea umechapiwa! utasikia naenda kwenye kitchen party, kwenye birthday mara kwenye kombe hizo ndio dalili za mwanzomwanzo, ukaguzi wa kushtukiza ni muhimu sana, ukicheka na nyani utavuna mabua, kuna dogo anatafuniwa hapa jirani mpaka unamuonea hurumahahahha umeona eee
Wewe ndo unaakili mwanamke hachingwi utakufa kwa maradhimkuu ukilegea umechapiwa! utasikia naenda kwenye kitchen party, kwenye birthday mara kwenye kombe hizo ndio dalili za mwanzomwanzo, ukaguzi wa kushtukiza ni muhimu sana, ukicheka na nyani utavuna mabua, kuna dogo anatafuniwa hapa jirani mpaka unamuonea huruma
tatizo ni pale unapofikiria unavyomkunja na kule ndivyo anavyokunjwa hivyo hivyo au zaidi au wewe humli tigo halafu unasikia jamaa anayetembea naye ni mtalaamu wa kula tigo inauma ila nahisi wivu unaendana na mapenzi auYaan mwanamke hachungwi babu yangu aliniambia ...huwa akilitaka lake huwa hawashindwi
Wewe ndo unaakili mwanamke hachingwi utakufa kwa maradhi
hahahaha ni kwelitatizo ni pale unapofikiria unavyomkunja na kule ndivyo anavyokunjwa hivyo hivyo au zaidi au wewe humli tigo halafu unasikia jamaa anayetembea naye ni mtalaamu wa kula tigo inauma ila nahisi wivu unaendana na mapenzi au
wivu unaendana na mapenziNi kweli kabisa hatukatazi kumlinda mkeo ila isipitilize sana maana kuna watu mpaka wanatia karaha....mkuu ukilegea umechapiwa! utasikia naenda kwenye kitchen party, kwenye birthday mara kwenye kombe hizo ndio dalili za mwanzomwanzo, ukaguzi wa kushtukiza ni muhimu sana, ukicheka na nyani utavuna mabua, kuna dogo anatafuniwa hapa jirani mpaka unamuonea huruma

sasa kwa nini Mapenzi yanageuka kuwa chanzo cha kuchapiwa na dharau ndani hasa ukiwa unamuonyesha kumpenda mwanamke na kumjali?hahahaha ni kweli![]()
![]()
wivu unaendana na mapenzi
Unajua kila kitu kinatakiwa kiwe kwa kiasi.mapenzi ukizidisha sana huwa ni kero maana huzaa vitu vingi vya ajabu ikiwemo wivu uliopitiliza...sasa kwa nini Mapenzi yanageuka kuwa chanzo cha kuchapiwa na dharau ndani hasa ukiwa unamuonyesha kumpenda mwanamke na kumjali?
Au hawa viumbe wanataka nini
level ipi inahitajika ya mapenzi kwa Mwanamke wa Kichaga, Kinyaturu, Kimakonde, Kimburu, Kirangi,kigogo,kizaramo kimakonde, kisukuma, mha, mtusi wa Bukoba au mhaya, mpogoro mhehe mnyakyusa mbona kama naona vilio vyao ni hivyo hivyo na reactions zao zinafanana za kukubali kuchapwa?Unajua kila kitu kinatakiwa kiwe kwa kiasi.mapenzi ukizidisha sana huwa ni kero maana huzaa vitu vingi vya ajabu ikiwemo wivu uliopitiliza...
na mwanamke hatakiwi kuonyeshwa sana mapenzi atakusumbuwa
Maneno umemaliza mkuu.Wanawake wa siku hizi bana..
Yani we tokea uvinje ungo unakata mauono....Sekondari umemalza darasa zima...Advance unagawa nyuchi tuu....Chuo ndio usiseme....Kazini ndio balaa....
Halafu nije nikuone eti nikuridhishe.. ?? Huo si utani.. ???
Si naangalia tu kwani tatizo liko wapi?Aisee imenikumbusha mbali hayo mambo ya wanaume kuwa na wivu siku hiyo napiga stori na rafiki yangu ananiambia huko anakoishi kuna mwanaume yaani mkewe akienda mjini basi akirudi anataka avue nguo zote kisha apande kitandani amuangalie kama hajatoka kuchepuka.
Wivu unatakiwa ila wa kiwango kama hiki ni utumwa aisee. Wanaume punguzeni wivu jamaani.
Mkuu asante kwa kumaliza kila kituWanawake wa siku hizi bana..
Yani we tokea uvinje ungo unakata mauono....Sekondari umemalza darasa zima...Advance unagawa nyuchi tuu....Chuo ndio usiseme....Kazini ndio balaa....
Halafu nije nikuone eti nikuridhishe.. ?? Huo si utani.. ???