Mwanaume wivu unapozidi Unasababisha Tunachapiwa

Jitahidi tu usioe mwanamke malaya..maana wivu utakua ni kama utumwa kwako...kuna mwanamke anavyotembea tu,kuangalia watu,kucheka unajua kabisa huyu shangingi sasa huyo muweke ndani ndo utajuta...kwanza mi nashangaa mtu anashidwaje kujua mwanamke kicheche maana uwaga km wana alama vile...kuna mwnamke ukimuona unajua kbs huyu ht akiwa malaya naweza kumbadilisha ila kuna mwingine ukimuona tu unajua huyu nat*mba leo kesho ananipitia kushoto yan hujiulizi hata mara mbili.....by the way siku hizi mapenzi sio kitu cha kukitilia mkazo sana..
Afuuu kweli kabisaa...Kuna demu unaona kabisaa huyuu nagongaa naacha..!! Yani demu malayaa unamjuaa tu labda ukaze ubongoo...
 
Mimi labda uwe Girlfriend wangu sitagusaa simui yakoo hata nkiona Msg sitakuulizaa Walahiii...!!

Ilaa Kama nimekuoaaa... pambafuuuu utajua kama ni wivu au ni upendooo.. nikuhisi tuu kwanzaa hapatatoshaa..!! Wanawake naona mnakomalia etiii wivu ukizidi unakeraa... Unataka ugawe papuchi tuu..shenzii
hahahaha mmecheka sana aiseeee
 
Jitahidi tu usioe mwanamke malaya..maana wivu utakua ni kama utumwa kwako...kuna mwanamke anavyotembea tu,kuangalia watu,kucheka unajua kabisa huyu shangingi sasa huyo muweke ndani ndo utajuta...kwanza mi nashangaa mtu anashidwaje kujua mwanamke kicheche maana uwaga km wana alama vile...kuna mwnamke ukimuona unajua kbs huyu ht akiwa malaya naweza kumbadilisha ila kuna mwingine ukimuona tu unajua huyu nat*mba leo kesho ananipitia kushoto yan hujiulizi hata mara mbili.....by the way siku hizi mapenzi sio kitu cha kukitilia mkazo sana..
kweli kabisaaa wala si uwongo umenena vya kutosha
 
Ukiona mtu anasema kuwa hapa pana moto ameona dalili. Umetumwa wewe pasi shaka uliyekwambia hivyo kakudananya ili usimwone kama ni malaya au ni malaya anakwambia hivyo kama onyo kwako ili aendeleze umalaya wake pasi kumjua. Bila shaka umedanganywa na mwanamke malaya.
Kama utakuwa unaishi mtaani ,utanielewa nini nasema ila kama utakuwa una dunia yako umejitengea huwezi kunielewa.na si lazima wote wanielewe na hasa kwa wakati mmoja...ila ipo siku utanielewa...maana wengine hamwamini jambo kwa kusikia tu ,mpak yawakute ndo huwa mnakubali
 
mkuu kila mtu anawivu hakuna asokuwa na wivu kinachokataliwa ule wivu ulopitiliza maana huwa unachosha na kukera na matokeo yake humpelekea mtuvkufanya vitu kwa shindikizo baada kuchoka tuhuma zisizo na msingi..

Hakuna kitu kinachouma kaa mtu kukutuhumu
Ni kweli. But kujua kiwango cha wivu ulichonacho, kama ni kidogo au kikubwa ni ngumu kwa sababu hakuna kipimo.

Kila matendo ya wivu unayoyafanya UNAJIONA UPO SAWA KABISA. Na huwa yanatofautiana kati ya mtu na mtu depending on the situation.
 
Kama utakuwa unaishi mtaani ,utanielewa nini nasema ila kama utakuwa una dunia yako umejitengea huwezi kunielewa.na si lazima wote wanielewe na hasa kwa wakati mmoja...ila ipo siku utanielewa...maana wengine hamwamini jambo kwa kusikia tu ,mpak yawakute ndo huwa mnakubali
Bila shaka huyo kakudananya unaye hapo anakusaidia kujibu hapo hongereni
 
Wivu ni Sunnah ila inapofika mahali tukaufanya fardhi ndio tunapoharibu hasa kwa sisi wanaume,
.wapo wanaume wamekosa Amani na kila mtu hamwamini rafiki ndugu jamaa wala nani ,na wala hana imani na yule mwanamke alokuwa naye...

Sasa huwa najiuliza kama unaishi na mtu humwamini kwa vitu vidigo ,umeamuwa nini kuishi nae...wakat ndoa mahusiano yanajengwa na uwaminifu na kujichunga...

Mwanamke si mtu wa kuchungwa utapasua kichwa chako buree ,ukashindwa kufanya mambo yako..

Swala hili kwa baadhi ya wanaume kuwa na wivu wakijinga wamesababishwa kuchapiwa na baadhi ya watu ambao wanawahisi kuwa wana mahusiano na watu wao,wakati mambo yako kinyume kabisa..
Nimeshuhudia wanawake wengi wakiwatunuku wanaume papuchii kwa kuchokwa kila siku kusakamwa kwamba wanatembea na fulani wakati sio,basi hujikuta wakiwapa kweli ili kupunguza machungu...

Usia wangu kwenu wakiumeni mwenzangu ,wivu ni Sunnah ila tusiuzidishe maana baada ya kujenga huwa tunabomowa...
hii kweli na akiona unamfuatilia ndiyo atachapwa sana hawa viumbe sijui wakoje
 
Wivu ukipita kiasi hua ni maradhi, tena mabaya! Kumvua chupi mkeo ili umkague, kukaguakagua simu yake, kumpiga eti kwajili unawivu nae ni udhalilishaji wa hali ya juu, na nitashangaa kama kuna mwanamke wa kileo anakubali afanyiwe hivo. Wivu wa kiasi ni dalili ya kupenda mtu ila ukizidi na kugeuka udhalilishaji utasema hayo ni mapenzi?
Kama haumuamini mwenzio kiasi hicho unaishi nae wanini sasa? Tafsiri yake ni kua umemuona ni chupi mkononi na anaweza kufanywa wakati wowote, popote na yoyote. Umemtoa utu wake kwamba hana maamuzi yake ila wewe ndio unafikiri kwa niaba yake!
Ugonjwa wa wivu kupindukia dawa yake ni kufanyiwa vitu vya makusudi hadi akili ikae sawa
 
Ewalaaaaa comment tamu Hii
 
Inakaa sawa anaye

Inamkaa sawa anayefanya makusudi
 
Back
Top Bottom