Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,983
- 3,670
Asa zinavunjikaje wakati ndo muda wa kuchunga mipaka huku ukiwa unajua movements zako mwenzio anazitazama kwa makiniMkuu you are right..ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wivu kupita kiasi
Asa zinavunjikaje wakati ndo muda wa kuchunga mipaka huku ukiwa unajua movements zako mwenzio anazitazama kwa makiniMkuu you are right..ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wivu kupita kiasi
yeye anafata falsafa ya mwanamke anajichunga mwenyeweNi kweli kabisa hatukatazi kumlinda mkeo ila isipitilize sana maana kuna watu mpaka wanatia karaha....
Dogo anachapiwa kisa nini[emoji1] [emoji1] [emoji1]
hahaha niko mbioni kukufata tena na difender sio kwa kufaidi huko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna jamaa mmoja aliyekuwa katibu mkuu Wa simba alikua anahisi natembea na mke wake kitu ambacho hata sikuwahi kumfikilia huyo mke wake ilifika siku naamka asubuhi nagongewa na defender nje eti jamaa anadai nimeingia kwake na kuiba na wakati hati geti Iake sijawahi kuvuka, kilichofuatia nikaamua kufanya kweli, mke wake mwenyewe slope nimegusa imo, cku hizi huwa napiga hadi kwenye manyasi, mke ananisubir hadi ucku nirudi tupige kimoja ndo akalale, anatoka nje fasta nambinua ukutani, salamu zako x-general secretary wa simba, ile ulivoniweka ndani ukijisifu unamtandao mkubwa nchini sasa leo hii najigongea tu mkeo!
hawa watu hutakiwi uwaache sana peke yao au kuwachunga sana unatakiwa uwe nusu kwa nusuyeye anafata falsafa ya mwanamke anajichunga mwenyewe
Pole mwaya mchepuko wangu...
MBITIYANZA Umeanza lini zereu lakinii...
Mtake babu radhi, ako na mke wake Sky na mie mchepuko ujue!!!
Saa tisa??hahahaha narudia tena samahani sana !klumbe we mchepuko wake?? sasa wewe Asprin zile pm za mausku ya manane huwa unatoka kwa sakayo au? nakumbuka mara ya mwisho umekuja pm saa9 ukanitumia picha upo fairway
Saa tisa??
Huo ni uchochezi jamani
Eeehhahahaha narudia tena samahani sana !klumbe we mchepuko wake?? sasa wewe Asprin zile pm za mausku ya manane huwa unatoka kwa sakayo au? nakumbuka mara ya mwisho umekuja pm saa9 ukanitumia picha upo fairway
Mungu wangu!!! Wala hakutoka kwangu kabisa....ahhaahha naapa tena mhenga mwenzangu saa9! nikasema wewe ni DK? akasema hamna tena yaan ananipigisha tu stry !khaa !
Mungu wangu!!! Wala hakutoka kwangu kabisa....
Eeeh
Yamekuwa hayo tena jamani... Ko tuko wangapi shougaa
Cc Asprin
Utaniua kwa presha ujue...hahahaha !mambo 'AZALANI'
Sidanganyiki ujue... Ko unataka nimwache kwa style hiyo.... Babuu Asprin ukuje huku....hahaha !mie ameachaga kwangu vest tu !nadhan umiliki mkubwa ni kwa sky