Mwanaume wivu unapozidi Unasababisha Tunachapiwa

Mwanaume wivu unapozidi Unasababisha Tunachapiwa

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
3,695
Reaction score
5,548
Wivu ni Sunnah ila inapofika mahali tukaufanya fardhi ndio tunapoharibu hasa kwa sisi wanaume,
.wapo wanaume wamekosa Amani na kila mtu hamwamini rafiki ndugu jamaa wala nani ,na wala hana imani na yule mwanamke alokuwa naye...

Sasa huwa najiuliza kama unaishi na mtu humwamini kwa vitu vidigo ,umeamuwa nini kuishi nae...wakat ndoa mahusiano yanajengwa na uwaminifu na kujichunga...

Mwanamke si mtu wa kuchungwa utapasua kichwa chako buree ,ukashindwa kufanya mambo yako..

Swala hili kwa baadhi ya wanaume kuwa na wivu wakijinga wamesababishwa kuchapiwa na baadhi ya watu ambao wanawahisi kuwa wana mahusiano na watu wao,wakati mambo yako kinyume kabisa..
Nimeshuhudia wanawake wengi wakiwatunuku wanaume papuchii kwa kuchokwa kila siku kusakamwa kwamba wanatembea na fulani wakati sio,basi hujikuta wakiwapa kweli ili kupunguza machungu...

Usia wangu kwenu wakiumeni mwenzangu ,wivu ni Sunnah ila tusiuzidishe maana baada ya kujenga huwa tunabomowa...
 
Aisee ina kela sana wanaume weng wenye wivu kupita kias weng wao wanakuwa hawajatulia
 
Aisee umenikumbusha mbali hayo mambo ya wanaume kuwa na wivu siku hiyo napiga stori na rafiki yangu ananiambia huko anakoishi kuna mwanaume yaani mkewe akienda mjini basi akirudi anataka avue nguo zote kisha apande kitandani amuangalie kama hajatoka kuchepuka.

Wivu unatakiwa ila wa kiwango kama hiki ni utumwa aisee. Wanaume punguzeni wivu jamaani.
 
Wivu..Hua unaumuhimu wake but uwe wivu wenye tijaa..
Mimi/sisi kama wanaume tunapaswa kujiwekea malengo kwanza, kwanini upo na huyo mwanamke ulie nae na msaada wake kwako ni upi yanii utafaaidikaje..then mpatie huyo mwanamke hayo malengo yako..
Kama akikusalitiii nakuakikishia, huyo mwanamke atakivuna kwa meno alichopanda..vilevile na upandewetu wanaume..

Tutimize wajibu wetu wadau..hakuna sababu nyingine
 
Vyote tu usiwe nao uwe nao km on bed ni fa fa fa fa andaa dawa ya maumivu
Wanawake wa siku hizi bana..

Yani we tokea uvinje ungo unakata mauono....Sekondari umemalza darasa zima...Advance unagawa nyuchi tuu....Chuo ndio usiseme....Kazini ndio balaa....

Halafu nije nikuoe halafu eti nikuridhishe.. ?? Huo si utani.. ???
 
Wanawake wa siku hizi bana..

Yani we tokea uvinje ungo unakata mauono....Sekondari umeamilza darasa zima...Advance unagawa nyuchi tuu....Chuo ndio usiseme....Kazini ndio balaa....

Halafu nije nikuone eti nikuridhishe.. ?? Huo si utani.. ???
Haya basi kuwa na wivu ntaridhika , ila kwa povu Hilo hahahahahaha pole
 
Aisee imenikumbusha mbali hayo mambo ya wanaume kuwa na wivu siku hiyo napiga stori na rafiki yangu ananiambia huko anakoishi kuna mwanaume yaani mkewe akienda mjini basi akirudi anataka avue nguo zote kisa apande kitandani amuangalie kama hajatoka kuchepuka.

Wivu unatakiwa ila wa kiwango kama hiki ni utumwa aisee. Wanaume punguzeni wivu jamaani.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Aisee imenikumbusha mbali hayo mambo ya w.anaume kuwa na wivu siku hiyo napiga stori na rafiki yangu ananiambia huko anakoishi kuna mwanaume yaani mkewe akienda mjini basi akirudi anataka avue nguo zote kisa apande kitandani amuangalie kama hajatoka kuchepuka.

Wivu unatakiwa ila wa kiwango kama hiki ni utumwa aisee. Wanaume punguzeni wivu jamaani.

Mkuu..
Wivu wa namna hii unaitwa KUTOKUJIAMINI...
Wanawake msikubali kuingia kwenye mahusiano na mwanaume asiyejiamini..ni mzigo kuliko doza la maji taka..
 
Vyote tu usiwe nao uwe nao km on bed ni fa fa fa fa andaa dawa ya maumivu

ahahaha sijui kwann unanichekeshaga jaman !hv hujanywa kweli wine leo ? yaan nimechekaaa !jaman bora ashindwe bed kulikowivu wa kijinhga unakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mkuu..
Wivu wa namna hii unaitwa KUTOKUJIAMINI...
Wanawake msikubali kuingia kwenye mahusiano na mwanaume asiyejiamini..ni mzigo kuliko doza la maji taka..

umesema kweli kbs mkuu !hata akikuona unacheka na simu yako ananuna !uende gengen kosa !yaan kila kitu kwake ni kosa !jaman jaman jaman jaman jaman !kuna wanaume hata akuone na mwanamke mwenzako bado atasema !unaongozana na mashannging wa mji !ah jaman !hapana aisee
 
ahahaha sijui kwann unanichekeshaga jaman !hv hujanywa kweli wine leo ? yaan nimechekaaa !jaman bora ashindwe bed kulikowivu wa kijinhga unakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Yap wivu unaboa lkn bed inaboa zaidi
Afadhali kwa kucheka mi sio mnywaji ujue nipo na akili yangu kamili
 
umesema kweli kbs mkuu !hata akikuona unacheka na simu yako ananuna !uende gengen kosa !yaan kila kitu kwake ni kosa !jaman jaman jaman jaman jaman !kuna wanaume hata akuone na mwanamke mwenzako bado atasema !unaongozana na mashannging wa mji !ah jaman !hapana aisee
Ukitoka ofisini unakaguliwa simu na pochi
 
Yap wivu unaboa lkn bed inaboa zaidi
Afadhali kwa kucheka mi sio mnywaji ujue nipo na akili yangu kamili

inakera sana jman !afu akiwa 'hohehahe' bed kama Asprin mke unakuwa na hasira na mihemko daily !mxiew! nimecheka nimekusoma sehem umesema ww unaumwaga kiuno !hahaahahah shoga we mapenz unayapa kipaumbele had raha ! mie wala !BARAFU
 
Back
Top Bottom