Mwanaume wivu unapozidi Unasababisha Tunachapiwa

Mwanaume wivu unapozidi Unasababisha Tunachapiwa

inakera sana jman !afu akiwa 'hohehahe' bed kama Asprin mke unakuwa na hasira na mihemko daily !mxiew! nimecheka nimekusoma sehem umesema ww unaumwaga kiuno !hahaahahah shoga we mapenz unayapa kipaumbele had raha ! mie wala !BARAFU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe barafu hahahahaa menopause inagonga hodi,[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Napenda kiasi chake sio kiivo hizi story tu mamiii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe barafu hahahahaa menopause inagonga hodi,[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Napenda kiasi chake sio kiivo hizi story tu mamiii

hapana sex nzuri ni nzuri sana ujue !kwanza unaonekana kijana tu !ah mayb menopause shoga !hahahaa menopause at 32!!!!!!!!pathetic
 
hapana sex nzuri ni nzuri sana ujue !kwanza unaonekana kijana tu !ah mayb menopause shoga !hahahaa menopause at 32!!!!!!!!pathetic
Ndo nashangaa!! Hapana tunatofautiana hatuwezi kufanana so usijisikie vibaya
 
Wana wivu na ni ma fa fa fa kuchapiwa nje nje

hahahhahahhahaa uwiiii mbombo jilipo !jaman kuna wanaume wemye wivu hii dunia !hata koka unaiona chachu !ole wako uende toilet ukasahau ukabeba simu utajuuta !ole wako jiran mwanaume akuangalie utajuuutra!yaan ova anakufananisha na mdangaji
 
Na Mara nyingi hawapo romantic kabissaaaaaa so ni rahisi kwa wake zao km mtoa mada alivyosema kugawa mechi kwa hasira
 
Na Mara nyingi hawapo romantic kabissaaaaaa so ni rahisi km mtoa mada alivyosema wanaenda kugawa mechi kwa hasira

hahahaa mie huwa nasema labda anajihis hafananii kuwa na mkewe au ni vipi ? yaan km mapenz ya form 4 bwana ! yanakera sana !jingine unaaga unaenda churuch ukifika muda fulan unaona call yake !SASA USIPOKEE
 
Anakuja kanisani kusubiri mida ya kutoka then anapiga uje ujifanye eti haupo eneo la tukio!!! Utajuta
 
Aisee ina kela sana wanaume weng wenye wivu kupita kias weng wao wanakuwa hawajatulia
maana si wanajua jinsi wao wanavyofanya na ndomana wanakuwa hawajiamini wanahisi na wenzao hivyo hivyo
 
Aisee imenikumbusha mbali hayo mambo ya wanaume kuwa na wivu siku hiyo napiga stori na rafiki yangu ananiambia huko anakoishi kuna mwanaume yaani mkewe akienda mjini basi akirudi anataka avue nguo zote kisha apande kitandani amuangalie kama hajatoka kuchepuka.

Wivu unatakiwa ila wa kiwango kama hiki ni utumwa aisee. Wanaume punguzeni wivu jamaani.
umeona eeeh ,yaan mwanamke ukimfanyia hivi hata kama hana nia ya kuchipuka utamfanya achipuke tu
 
Asante mkuu kwa kunielewa maana kuna watu watabisha kwa hili
Nimekupata vizuri ila tusisahau pia kuwahusisha hawa wanawake kwenye suala hili la wivu maana wapo ambao wana wivu more than too much mpaka inakuwa kero
 
Wivu..Hua unaumuhimu wake but uwe wivu wenye tijaa..
Mimi/sisi kama wanaume tunapaswa kujiwekea malengo kwanza, kwanini upo na huyo mwanamke ulie nae na msaada wake kwako ni upi yanii utafaaidikaje..then mpatie huyo mwanamke hayo malengo yako..
Kama akikusalitiii nakuakikishia, huyo mwanamke atakivuna kwa meno alichopanda..vilevile na upandewetu wanaume..

Tutimize wajibu wetu wadau..hakuna sababu nyingine
Ni kweli kabisa
 
Kugawa au kutokugawa mechi nje ni maamuzi ya mtu tu bana. Kma ulishazoea kumegwa hovyo toka zamani, hata ukiolewa HUTAACHA, na kama ulikuwa unajiheshimu toka zamani utachunga vizuri tu na kutunza utu wako kama mwanamke.

Wivu upo tu by nature. Kama upo basi upo tuu. Naweza nikajifanya sina wivu ila deep inside naumia moyo. Sio maamuzi ya mtu husika kuamua sasa hv ngoja niwe na wivu, au sasa hv ngoja nisiwe na wivu.

Sometimes utakuta hata mtu mwenyewe hapendi hyo hali, ila ndo yupo hvy sasa, kuact normal inakuwa kazi kwake. Na kama mtu yupo na wivu kwa kiasi chake (tunatofautiana kiwango cha wivu), na ikafika kipindi ukaona kama hakufuatilii tena, ujue ameshachoka na ishu zako.
 
Back
Top Bottom