MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,084
Utaniua kwa presha ujue...
teh teh na wanaume walivyo wachache lazima tutakufa walah
Utaniua kwa presha ujue...
Sidanganyiki ujue... Ko unataka nimwache kwa style hiyo.... Babuu Asprin ukuje huku....
We acha tuu.. Ila mie niko na njia kuu na mchepuko, kama ndo hatulii itabidi nikae njia kuu asijeniletea pumu bureeeeeteh teh na wanaume walivyo wachache lazima tutakufa walah
We acha tuu.. Ila mie niko na njia kuu na mchepuko, kama ndo hatulii itabidi nikae njia kuu asijeniletea pumu bureeeee
Wewe ndo unakula mali ya Kaduguda, ok ngoja jamaa afanye mambo!Kuna jamaa mmoja aliyekuwa katibu mkuu Wa simba alikua anahisi natembea na mke wake kitu ambacho hata sikuwahi kumfikilia huyo mke wake ilifika siku naamka asubuhi nagongewa na defender nje eti jamaa anadai nimeingia kwake na kuiba na wakati hati geti Iake sijawahi kuvuka, kilichofuatia nikaamua kufanya kweli, mke wake mwenyewe slope nimegusa imo, cku hizi huwa napiga hadi kwenye manyasi, mke ananisubir hadi ucku nirudi tupige kimoja ndo akalale, anatoka nje fasta nambinua ukutani, salamu zako x-general secretary wa simba, ile ulivoniweka ndani ukijisifu unamtandao mkubwa nchini sasa leo hii najigongea tu mkeo!
Ndiooo shougaa... Mwanaume asiyetulia na mkewe na mchepuko juu... Bado anaongeza kama sio pumu anatafuta ni niniahahhaha mbona pumu
Unajua huyu nlimtongozaga enzi za ujana wangu akanikatalia. Sasa kaona nimepata pensheni anajifanya eti naye anataka pombe wakati mimi siku hizi nakunywa maziwa.Mmmmh
Naona mmeichoka amani!!
SawaUnajua huyu nlimtongozaga enzi za ujana wangu akanikatalia. Sasa kaona nimepata pensheni anajifanya eti naye anataka pombe wakati mimi siku hizi nakunywa maziwa.