Mwanaume wivu unapozidi Unasababisha Tunachapiwa

Mwanaume wivu unapozidi Unasababisha Tunachapiwa

Kweli kabisa mkuu. Wivu unapaswa uwe wa kiasi aisee.
sasa mie nakupa mfano nnajamaa yangu kutwa kumpa kesi mkewe anatembea na rafiki zake ,kisa tu labda akicheka nao basi mwisho wa siku mwanamke kachoka na tuhuma maana kila akizikana jamaa haelewi ikabidi amtafute jamaa amweke chini ,amwambie mume wangu anahisi natembea na ww, mimi nataka nkupe mashine kweli!jamaa akajilia mzigo kiulainiii
 
Hahaaa. Huyo mwanamke ni kiboko aisee. Yaani akaamua kufanya kweli. Duuh
 
Kugawa au kutokugawa mechi nje ni maamuzi ya mtu tu bana. Kma ulishazoea kumegwa hovyo toka zamani, hata ukiolewa HUTAACHA, na kama ulikuwa unajiheshimu toka zamani utachunga vizuri tu na kutunza utu wako kama mwanamke.

Wivu upo tu by nature. Kama upo basi upo tuu. Naweza nikajifanya sina wivu ila deep inside naumia moyo. Sio maamuzi ya mtu husika kuamua sasa hv ngoja niwe na wivu, au sasa hv ngoja nisiwe na wivu.

Sometimes utakuta hata mtu mwenyewe hapendi hyo hali, ila ndo yupo hvy sasa, kuact normal inakuwa kazi kwake. Na kama mtu yupo na wivu kwa kiasi chake (tunatofautiana kiwango cha wivu), na ikafika kipindi ukaona kama hakufuatilii tena, ujue ameshachoka na ishu zako.
mkuu kila mtu anawivu hakuna asokuwa na wivu kinachokataliwa ule wivu ulopitiliza maana huwa unachosha na kukera na matokeo yake humpelekea mtuvkufanya vitu kwa shindikizo baada kuchoka tuhuma zisizo na msingi..

Hakuna kitu kinachouma kaa mtu kukutuhumu
 
Hahaaa. Huyo mwanamke ni kiboko aisee. Yaani akaamua kufanya kweli. Duuh
Ujuwe nini inachosha na inakera mtu kukutuhumu wakat jambo hufanyi sasa unabeba lawama kama umefanya,sasa mtu ndo anapoona bora nifanye potelea mbali ,maana sjafanya nalaumiwa gubu mtindo mmoja ndani hapakaliki ,
 
Wivu ni Sunnah ila inapofika mahali tukaufanya fardhi ndio tunapoharibu hasa kwa sisi wanaume,
.wapo wanaume wamekosa Amani na kila mtu hamwamini rafiki ndugu jamaa wala nani ,na wala hana imani na yule mwanamke alokuwa naye...

Sasa huwa najiuliza kama unaishi na mtu humwamini kwa vitu vidigo ,umeamuwa nini kuishi nae...wakat ndoa mahusiano yanajengwa na uwaminifu na kujichunga...

Mwanamke si mtu wa kuchungwa utapasua kichwa chako buree ,ukashindwa kufanya mambo yako..

Swala hili kwa baadhi ya wanaume kuwa na wivu wakijinga wamesababishwa kuchapiwa na baadhi ya watu ambao wanawahisi kuwa wana mahusiano na watu wao,wakati mambo yako kinyume kabisa..
Nimeshuhudia wanawake wengi wakiwatunuku wanaume papuchii kwa kuchokwa kila siku kusakamwa kwamba wanatembea na fulani wakati sio,basi hujikuta wakiwapa kweli ili kupunguza machungu...

Usia wangu kwenu wakiumeni mwenzangu ,wivu ni Sunnah ila tusiuzidishe maana baada ya kujenga huwa tunabomowa...
Ah kiboko yao MS TANZANIA elfu 45 unamaliza mchezo
 
Ujuwe nini inachosha na inakera mtu kukutuhumu wakat jambo hufanyi sasa unabeba lawama kama umefanya,sasa mtu ndo anapoona bora nifanye potelea mbali ,maana sjafanya nalaumiwa gubu mtindo mmoja ndani hapakaliki ,
Ila mwanaume akiwa na wivu wa kupitiliza lazima mke wake apate shida aisee
 
Mimi labda uwe Girlfriend wangu sitagusaa simui yakoo hata nkiona Msg sitakuulizaa Walahiii...!!

Ilaa Kama nimekuoaaa... pambafuuuu utajua kama ni wivu au ni upendooo.. nikuhisi tuu kwanzaa hapatatoshaa..!! Wanawake naona mnakomalia etiii wivu ukizidi unakeraa... Unataka ugawe papuchi tuu..shenzii
 
Jitahidi tu usioe mwanamke malaya..maana wivu utakua ni kama utumwa kwako...kuna mwanamke anavyotembea tu,kuangalia watu,kucheka unajua kabisa huyu shangingi sasa huyo muweke ndani ndo utajuta...kwanza mi nashangaa mtu anashidwaje kujua mwanamke kicheche maana uwaga km wana alama vile...kuna mwnamke ukimuona unajua kbs huyu ht akiwa malaya naweza kumbadilisha ila kuna mwingine ukimuona tu unajua huyu nat*mba leo kesho ananipitia kushoto yan hujiulizi hata mara mbili.....by the way siku hizi mapenzi sio kitu cha kukitilia mkazo sana..
 
Wivu ni Sunnah ila inapofika mahali tukaufanya fardhi ndio tunapoharibu hasa kwa sisi wanaume,
.wapo wanaume wamekosa Amani na kila mtu hamwamini rafiki ndugu jamaa wala nani ,na wala hana imani na yule mwanamke alokuwa naye...

Sasa huwa najiuliza kama unaishi na mtu humwamini kwa vitu vidigo ,umeamuwa nini kuishi nae...wakat ndoa mahusiano yanajengwa na uwaminifu na kujichunga...

Mwanamke si mtu wa kuchungwa utapasua kichwa chako buree ,ukashindwa kufanya mambo yako..

Swala hili kwa baadhi ya wanaume kuwa na wivu wakijinga wamesababishwa kuchapiwa na baadhi ya watu ambao wanawahisi kuwa wana mahusiano na watu wao,wakati mambo yako kinyume kabisa..
Nimeshuhudia wanawake wengi wakiwatunuku wanaume papuchii kwa kuchokwa kila siku kusakamwa kwamba wanatembea na fulani wakati sio,basi hujikuta wakiwapa kweli ili kupunguza machungu...

Usia wangu kwenu wakiumeni mwenzangu ,wivu ni Sunnah ila tusiuzidishe maana baada ya kujenga huwa tunabomowa...
Ukiona mtu anasema kuwa hapa pana moto ameona dalili. Umetumwa wewe pasi shaka uliyekwambia hivyo kakudananya ili usimwone kama ni malaya au ni malaya anakwambia hivyo kama onyo kwako ili aendeleze umalaya wake pasi kumjua. Bila shaka umedanganywa na mwanamke malaya.
 
Ila mwanaume akiwa na wivu wa kupitiliza lazima mke wake apate shida aisee
tena kubwa maana binafsi kuwa na rafiki mwenye wivu na mkewe hatuezi kaa maana tutagombana ,maana huwa hawamwamini mtu na hawataki ukaribu na mkewe
 
Back
Top Bottom