nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,859
- 4,873
Dah asee!!
Nyumba zingepewa vinywa mmmmmh watu tungekimbiana barabarani
...hahahhaahahhaaaaaaaaaaa,,, jamaa umenifurahisha kweli......hhahahahahaaaaaa
Dah asee!!
Nyumba zingepewa vinywa mmmmmh watu tungekimbiana barabarani
Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
Huyo nae mnamuita mwanaume!
Tena mwanaume wa shoka!!..sema mshahara hautoshi..
Naona mara nyingi huu mstari unatumika kuhalalisha upumbavu wa wanaume.
Ni kiswahili chepesi ila hamkielewi