Mwanaume wa Maonyesho

Mwanaume wa Maonyesho

Pamona na kwamba maisha ya mahusiano yanahitaji usanii, ila kusema kweli usanii mwingine ni thumu!!

Bahati nzuri siwezi kuitwa Baby tena...lol!!

......hehehhehh #Swahiba , ukiishaitwa "Bebi" ujijue ushakuwa Mwanaume wa Maonyesho, kama #JokaLaKibisa vilee japo una mamvi yako kichwani... 🙂))
 
Mwanamke umbea,

Haya mahusiano ya show off ndo habari ya mujini, shostito wangu anayamudu sana haya makitu,

wakiamua kutoka out bill zote kwake,

Lodge kila siku lazma alipie yeye kuliko jamaa kuzama mfukoni bora zoezi liahirishwe,

Pitapita za shopping zote juu yake jamaa nae atachagua wee bill kwa mwanamuke,

Ila wadau tukiwepo anazuga na maongezi ya hivi " mpenzi naomba uninunulie sijui nini Mara nini" Lakini wapi show off tu kwa wapenzi watizamaji,

Na kwa tetesi zilizopo hadi mahari kajitolea weraaaaaaa mi pilau ntakula na ntanengua hayanihuuuuuuu.
 
Wengi wameliongelea lakini na mimi nitarudia tena; wanawake wengi hampendani. Unakuta binti ana best yake lakini akipatwa na matatizo badala ya kumsaidia ndio kwanza anamcheka. Vile vile mnasikiliza sana hao hao ma-best wenu ambao huwapa ushauri wa kuwaharibia mwishowe mnajuta. Rafiki anayekushauri uachane na jamaa yako ndio huyo huyo anakuja kutembea naye.
 
watu8

umeshawahi kumpenda mtu asiyejua thamani ya upendo!?
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtaji huu vilio vya kwenye ndoa havitakaa viishe. Nakumbuka kuna mkaka flani alikutana na dada mmoja basi uhusiano wao haukuchukua muda mrefu kwani ndani ya 5 months walifunga ndoa. Kumbe yule kaka alikua anataka kumtambia exgf wake. Hivi ninavyoandika ndoa ile imekua na full migogoro kila kukicha kwani yule bwana ni katili sana , yule dada anatesekaje sasa na hivi jamii yetu haijaweza kupokea kwa mikono 2 wanaoachana basi anakufa na tai shingoni.

Nikirudi kwenye topic hao wadada wanaotambiana na kuonyeshana kuwa wanaweza nafikiri hawajitambui na hata mwanaume anaejikuta katembea na huo mzunguko nae pia hajitambui. Nasikitika tu kusema sijui kwanini sisi wanawake tuna roho mbaya namna hii.
 
Evelyn Salt




.....Mnh, sijui pengine ni mapenzi yaliyopitiliza, maana hilo la kujitolea mahari,.... Huyo mwanaume sasa anatudhalilisha.... Ni bora swahiba Dark City na mzee Asprin wasiusome mstari huo aisee
 
Last edited by a moderator:
.....Mnh, sijui pengine ni mapenzi yaliyopitiliza, maana hilo la kujitolea mahari,.... Huyo mwanaume sasa anatudhalilisha.... Ni bora swahiba Dark City na mzee Asprin wasiusome mstari huo aisee

Desperado.
 
Last edited by a moderator:
Jawilat

Huwa sipendi, bali huwa napendana...
 
Last edited by a moderator:
Mbu ina maana hawa ulio wa cc

Asprin, Dark City, The Boss, Mr Rocky, Kaizer, @rr, Teamo, Eiyer, Fidel80

Ndio wanatumia nguvu nyingi?
 
.....Mnh, sijui pengine ni mapenzi yaliyopitiliza, maana hilo la kujitolea mahari,.... Huyo mwanaume sasa anatudhalilisha.... Ni bora swahiba Dark City na mzee Asprin wasiusome mstari huo aisee


Huyo dunia anayefikia kujitolea mahari si aamue kujioa yeye mwenyewe??

Hii wakati mwingine ina viroja vilivyopitiliza.....

Mie hata sikumuruhusu Bibi afue leso yangu....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
chardams

Hahahahahahahah,

Hawa ndiyo wana wajukuu wengi...kwa hiyo wana-viwanja vingi vya kujifunzia au kufanyia mazoezi!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Sasa watafanyaje wakati wanaishi kwaajili ya maonyesho?

Mbu acha hizo bana, wanaume mtakimbia challenges mpaka lini? Hadhi yoyote yaweza kuwa yako bana, its just a matter of kujiamini.
Akikuambia"baby naomba laki 2 nikasuke" mwambie "baby mi napenda sana ukiachia nywele zako, uzuri wako wote unaonekana. Trust me baby, thats why I love you.".
 
Last edited by a moderator:
wee!
wanawake tunapenda labda hao wanawake wa mtaaini kwetu ndo hampendi kabisa

Sisi tunapenda tunahudumiana na tunajaliana na isitoshe tuna group letu la kimaendeleo

Labda huko kwenu mnanuniana kutambiana ovyo usiseme wanawake wote tuko hivyo weeeeeeeeeeeeee!!!!
 
Back
Top Bottom