Mwanaume wa Maonyesho

Mwanaume wa Maonyesho

Mbu ina maana hawa ulio wa cc

Asprin, Dark City, The Boss, Mr Rocky, Kaizer, @rr, Teamo, Eiyer, Fidel80

Ndio wanatumia nguvu nyingi?

.....khaaa?!
Hebu watake radhi aisee...
Watakuja kukujibu wenyewe.
 
weeeeeeeeeeee!!!!!!
wanawake tunapenda labda hao wanawake wa mtaaini kwetu ndo hampendi kabsa
sisi tunapenda tunahudumiana na tunajaliana na isitoshe tuna group letu la kimaendeleo
labda huko kwenu mnanuniana kutambiana ovyo usiseme wanawake wote tuko hivyo weeeeeeeeeeeeee!!!!

Dear ndio maana nikasema "wanawake wengi" sio wote. Ni kweli wapo wanawake katika mambo ya saccos na vikundi na kutafuta pesa ni mahiri sana. Lakini kwenye suala la mapenzi, wanawake wengi hampendani. Mnaharibiana sana kwa waume zenu. Kosa kubwa utakalofanya mtoto wa kike ni kumuweka rafiki yako wa kike karibu na mume/jamaa yako, lazima uandike maumivu.
 
Sasa watafanyaje wakati wanaishi kwaajili ya maonyesho?

Mbu acha hizo bana, wanaume mtakimbia challenges mpaka lini? Hadhi yoyote yaweza kuwa yako bana, its just a matter of kujiamini.
Akikuambia"baby naomba laki 2 nikasuke" mwambie "baby mi napenda sana ukiachia nywele zako, uzuri wako wote unaonekana. Trust me baby, thats why I love you.".

.....waoohh!!! Missed you sana Lizzy,
Upo pouwa?!

Hehehhe, yaani unavyopendeza na hilo Afro lako au kama #FlavianaMatata na kipara chake.... Halafu anakuja mlimbwende anadai laki mbili eboo?!

Kwani ATM hii? Minywele yenyewe ya mdoli ikiingia maji tu kwishney....usafi upo wapi?

Back to Our Topic....
Nikiangalia upande wa pili wa shilingi
Maisha yenyewe ya sasa hawa kina #Marioo sijui #YahayaWaJayDee acha wawagharamikie tu aisee...

Suruali zenyewe kata.K kuna waoaji hapo kweli? #MidoliTu !
 
Last edited by a moderator:
Mtaongea sana na kutoa misimamo yenu lakin mjue haya mambo yamekuepo toka zaman na wala hayataisha leo na hayana kanuni,hakuna chuo kinafundisha haya mambo
 
Dear ndio maana nikasema "wanawake wengi" sio wote. Ni kweli wapo wanawake katika mambo ya saccos na vikundi na kutafuta pesa ni mahiri sana. Lakini kwenye suala la mapenzi, wanawake wengi hampendani. Mnaharibiana sana kwa waume zenu. Kosa kubwa utakalofanya mtoto wa kike ni kumuweka rafiki yako wa kike karibu na mume/jamaa yako, lazima uandike maumivu.

kiukweli mi sio kuwa natetea wanawake ila tatizo kubwa ni kuwa wanawake wako extrovert sana yani kuexpress kile wanachojiskia kiurahisi,wanaume not so much.hivyo inakua rahisi kufanya vitu kwa uwazi
kwenye mahusiano,angalia wanaume wangapi hutoka na wake za rafiki zao or girlfriends(ni wengi) na kwa dunia ya sasa mi naona jinsia zote tu swala la kuaminiana halipo sana
kwa mfano wako hapo juu:naweza kumuamini rafiki yangu ila je do i trust my husband kihivyo?na je kwanini yeye mwanaume asiwe na utashi wa kusema "bwana this is my wife's friend or sister or cousin etc"ajiwekee boundaries?kwanini mwanamke ndo awe na jukumu la kusema mume wangu sipendi mazoea haya na haya na flani? ndo hapo tu mimi huwa nasema,IT DEPENDS!

BACK TO THE TOPIC:
Kufa na tai shingoni ahahaha!this is true ila sio tu kwa show off kuna mwingine sijui ni kutojiamini ila anaona akimuacha huyo aliye nae basi anaweza pata mbaya zaidi(fear of the unknown) kuchukua risk ya kuachana na mtu and getting back to the global market inahitaji guts at times.
Na pahali pengine wengine huona kama kunusanusa mwisho utaitwa mbwa bure!na hao hao unaosema ni marafiki.bora maonyesho:A S 109::A S 109:
and yes,at times mtu unajali watu wanachosema ila inatakiwa tu uwe na kipimo,kuwa disminder sana nayo ni tatizo maana unaweza kuharibu maisha yako pia.
 
Sasa mkuu tukuombe uzame kwenye chunguzi zako kujua source ya hii kitu ni nini? Mfano mdogo tu.. ukiangalia housegirls kilio chao kila siku kinasababishwa na wanawake wenzao... bora ingekua hawafanyi kazi zao ipasavyo... ila kuna kitu zaidi...

Nafahamu familia ambao msaidizi wa ndani haruhusiwi kula meza moja na wanafamilia... na pia nimewahi kuishi jirani na familia ambao msaidizi wa ndani haruhusiwi kula chakula wanachokula wanafamilia...... Mama mmoja Lawyer pia rafiki yangu aliwahi kunisimulia yeye alikulia kwa mama yake mkubwa na huyo mama yake mkubwa alikuwa anahakikisha wakati mume wake hayupo au amesafiri , yeye hali chakula chao na alikua anamlazwa stoo... mume akirudi Mama anakuwaje mwema?? Fikiria huyu ni mwanamke mwenzake na n mtoto wa mdogo wake wa kuzaliwa... Uone umakusudi wao.. kwa nini hadi asubiri mumewe hayupo? so huwa wanajua hawafanyi sawa ila wanajikuta hivyo labda au ni nini???

Tized

Ni kweli mkuu suala la wanawake kutopendana wao kwa wao ni ukweli usio pingika kuna siku nilikuwa nimekaa kwenye daladala akaingia dada mmoja alikuwa mjamzito na anaonyesha alikuwa amechoka hakuna mwanamke aliyejaribu kumpisha kwenye siti akae ilibidi ninyanyuke nimpishe alishukuru sana maana alikuwa amechoka sana,

Sasa nikajiuliza inamaana hawa wanawake waliopitia hali hii hawamuonei huruma mwenzao?

Hata wale walioenda labour wanakuambia ni mara mia wazalishwe na mwanaume kuliko mwanamke mwenzao siju kuna nini mpaka hawapendani kiasi hicho
 
my dear sio wote bhana wako hivyo ahata mm binafsi siko hivyo kwa marafiki zangu hivyo usichukulie wanawake wote sema baadhi wako hivyo si wote hapo nakataa kwa 100% huwezi taja wote wana tabia moja wakati ujafanya research kwa wote ni vyema kuomba msamaha hapa kwan umetukosea adabu kwa kusema wote tuna tabia hizo wakati sio wote umeni 😡
Dear ndio maana nikasema "wanawake wengi" sio wote. Ni kweli wapo wanawake katika mambo ya saccos na vikundi na kutafuta pesa ni mahiri sana. Lakini kwenye suala la mapenzi, wanawake wengi hampendani. Mnaharibiana sana kwa waume zenu. Kosa kubwa utakalofanya mtoto wa kike ni kumuweka rafiki yako wa kike karibu na mume/jamaa yako, lazima uandike maumivu.
 
Kwa taarifa yako hayo ndio maisha yaliyotamalaki katika mahusiano kwa sasa...

Wanawake wengi wameolewa si kwa kuwa ndio machaguo ya mioyo yao bali matamanio ya nafsi zao...

yanipitie mbali hayo Maisha......................

BTW ulivosema kwa taarifa yako imekaa ki awkward vile

ni kama vile vya wadada wanasutana sasa ndo anaanza kukwambia kwa taarifa yako na bla bla nyingine
 
BTW ulivosema kwa taarifa yako imekaa ki awkward vile

ni kama vile vya wadada wanasutana sasa ndo anaanza kukwambia kwa taarifa yako na bla bla nyingine

Pengine hujazoea kuiona katika maandishi ya Kiswahili...

Vipi kama ningeandika "For your information", ?
 
Nilipoona neno maonyesho nilijenga picha ya kule viwanja vya sabasaba, kilwa road.
Back to topic.....wanawake wanataka waonekane sio....waonekane wako occupied....kwamba wao sio milupo....akiwa na mtu anataka ijulikane....yaani she no more a loose ball...she is taken...
Hakika ni wengi wao...sio wote...
Btw.....mbona wanawake wote hapa wanasema hawako hivyo? Hapa jf wameshuka mbinguni sio....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

.... Hahahaha, e bana wewe.... Unapata #dhambi ujue?
 
Back
Top Bottom