Mwanaume wa kitajiri Vs Mwanaume wa Kimasikini

Sifa zangu zipo kwenye makundi yote mbona depending na mood nayokuwa nayo,,, je mimi utaniweka wapi?
 
Kuna mtu huyo namfaham ana pesa anakula huyoo breakfast tu 50000 peke yake bado mchana na na usiku
Hamezungumzia majority ndio maana kasema WANAUME kwaiyo hajamaanisha hamna WANAUME wenye ela wasiopenda kula ila Kwa Asilimia kubwa maskini NDIO wanakula sana ata msibani wa kishua mtu anapiga round tatu Kwa bufee dadeki
 
Mkuu umaskini na utajiri wa level zip kwa sababu kuna mtu unamwona ni maskini kabsa, ila kwa kijijini kwao yeye ni tajiri na nimfano wa kuigwa kwa kila mwnakijiji.
 
Hapo kwenye kula sana kwa masikini ni kawaida kwakua anapoteza karoli nyingi mwilini...
Hii nikutokana na harakat zake nyingi anatumia mwili wake kama asset
 
Sifa zangu zipo kwenye makundi yote mbona depending na mood nayokuwa nayo,,, je mimi utaniweka wapi?
Hapo lazima Kuna kundi utakuwa unakaa ndani Yake kea muda mrefu kuliko lingine, then you'll be probably classified in that group
 
Maskini Ni maskini tu na tajiri atajulikana tu sio lazima ajieleze
Mkuu umaskini na utajiri wa level zip kwa sababu kuna mtu unamwona ni maskini kabsa, ila kwa kijijini kwao yeye ni tajiri na nimfano wa kuigwa kwa kila mwnakijiji.
 
Back
Top Bottom