kokunestory
Member
- Apr 11, 2013
- 86
- 11
huyo ni mume wa mtu we huwezi kutumia akili
Sasa mbona majibu unayo tayari?Ushauri wa nini?
naona sijasomeka vizuri wakati nakutana nae mara ya kwanza tulikaa sehemu tukaongea na kunywa soda na siku nyingine kama mbili hivi mi nikaondoka maana hatukai sehemu moja ila sasa akinipigia simu anasema nakupenda sana na wewe umekuwa mwanamke wa kwanza kukaa nawe mahali ukala hela yangu (akimaanisha soda/msosi alionunua ). mimi sikumuomba hela nawa sikuwa na mpango huo kwa sababu nlikuwa nimemwambia anipe muda wa kufaamiana. hivyo sijawahi kuomba hela kwake na wala hajawahi kunipa hela yake.Mimi naunga mkono msimamo wako. Love and sex are two things which are quite different with different meanings. Nguvu ya UPENDO ni kubwa kuliko nguvu ya MAPENZI(sex). Upendo hudumu na ndio maana umpendae akikosea utamsamehe 7*70) NGUVU ya MAPENZI hudumu miili ikikutana tu, tena wakati mwingine huleta hofu(kama una imani ya dini yeyote). Nakupinga pia kwa mawazo yako potofu kwa kuupima UPENDO wa huyo mwanaume kwa kula PESA zake. Wewe sio WIFE material, inamaana ukila ela yake nyingi utamkubalia?HAPO UTAKUA UMEJIUZA NDUGU YANGU. Wanaume humthamini sana mwanamke asiyekuwa tayari kujiachia kirahisi na asiyekuwa mwepesi wa kuomba pesa. Hivyo ndio vipimo vyao wengi wao. Kuwa mtiifu na unaejali,pinga sex na pesa zake hapo hata ndani ya mwezi utafahamu NGUVU YA UPENDO NA UTOFAUTI WAKE NA NGUVU YA SEX. UKISHINDA HIVYO, MUME UTAKAEMPATA NI MUME KWELI.
Ukiwa na stress njo JF, utarudi nyumbani roho kwatu...
Wana JF naombeni ushauri. kuna mwanaume nilikuwa nawasilana nae kwa simu baadae tukaonana siku ya kwanza akaanza kunipa sera zake nikamwambia nipe muda wa kufahamiana. lakini nilipokutana nae mara ya pili amekuwa akitaka tufanye ngono nikamkatalia na kila tukiendelea kukutana suala la kufanya ngono ndo msisitizo wake hadi ananiboa hata sina tena hamu ya kuendelea kukutana nae. Nikamjibu kuwa kuhusu ngono kwa sasa asahau sasa kila akinipigia simu anasema ajafurahishwa na msimamo wangu. misimamo yangu mingine ya maisha haijamgusa ila suala la kukataa kufanya ngono ndo limemgusa. pia katika kukutana nae tumekuwaq tukipata tu soda na chakula cha gharama ya kawaida ana sijawahi hata kupokea fedha yake ila amekuwa akiniambia yaani wewe ndo mwanamke wa kwanza kula fedha yake, pia nikimwambia anionyeshe anapokaa anasema eti anaishi na mdogo wake hivyo hawezi kunipeleka kwa sababu hajawahi kumpeleka mwanamke nyumbani kwake pia mama mwenye nyumba yake anamfikiriaje kwani hana tabia hiyo. kwa hayo wana JF nataka kumtema kama naona anifai vile Naombeni ushauri.
hebu mjaribu kwanza, mpe.
Kwa nini una bana bana mbunye hiyo wakati haichangii pato lolote la taifa?
Ajiamini huyo. Kwanza huwa tuna text ladha kama hapa niweke makazi au vipi. Nani anataka mapenzi ya ufala. Unaweza kila siku wewe ukawa wa kupiga naye mistory tu halafu mwenzio hala halua.Aka babu! Hafai hata kwa mbolea!!!!!!!!
Hahahahahahahahahahahahahaha dah babu umenivunja mbavu kinouma dahKwa nini una bana bana mbunye hiyo wakati haichangii pato lolote la taifa?
Mimi naunga mkono msimamo wako. Love and sex are two things which are quite different with different meanings.
Nguvu ya UPENDO ni kubwa kuliko nguvu ya MAPENZI(sex). Upendo hudumu na ndio maana umpendae akikosea utamsamehe 7*70) NGUVU ya MAPENZI hudumu miili ikikutana tu, tena wakati mwingine huleta hofu(kama una imani ya dini yeyote).
Nakupinga pia kwa mawazo yako potofu kwa kuupima UPENDO wa huyo mwanaume kwa kula PESA zake. Wewe sio WIFE material, inamaana ukila ela yake nyingi utamkubalia?HAPO UTAKUA UMEJIUZA NDUGU YANGU.
Wanaume humthamini sana mwanamke asiyekuwa tayari kujiachia kirahisi na asiyekuwa mwepesi wa kuomba pesa. Hivyo ndio vipimo vyao wengi wao. Kuwa mtiifu na unaejali,pinga sex na pesa zake hapo hata ndani ya mwezi utafahamu NGUVU YA UPENDO NA UTOFAUTI WAKE NA NGUVU YA SEX.
UKISHINDA HIVYO, MUME UTAKAEMPATA NI MUME KWELI.
Your rightUkiwa na stress njo JF, utarudi nyumbani roho kwatu...
Maybe....Ushauri wangu,usimwache wala usimpe papuchi,vuta muda msome kwanza,labda kama yeye akiamua kuingia mtini ndo utajua yupo vp na lengo lake
sio hivyo mimisijamwomba hela tatizo liko kwenye hizo kauli sijapendezwa nazo hata tu soda nahesabiwa kula hela yake?
yaani kuna mtu kesho nataka nimpe makavu live ,haki ya mungu atajuta kunifahamu... Atanieleza ananitakia nini na ana mke wake nyumbani...hii kesi itazimwa na mke wake na mama mkwe wake