Mwanaume wa jinsi hii anafaa kuwa husband

Mwanaume wa jinsi hii anafaa kuwa husband

sio hivyo mimisijamwomba hela tatizo liko kwenye hizo kauli sijapendezwa nazo hata tu soda nahesabiwa kula hela yake?
 
Taratibu smile, usije ukaja na ngeu hapa, huyo mke wake hakawii kukugeuka, shauri yako take care bt mkomeshe i wish ningekuwepo kwenye hilo seleka
yaani kuna mtu kesho nataka
nimpe makavu live ,haki ya mungu atajuta kunifahamu... Atanieleza
ananitakia nini na ana mke wake nyumbani...hii kesi itazimwa na mke wake
na mama mkwe wake
 
huyo mlaji tu mambo ya mama mwenye nyumba na ww kwenda kwake inahucanaje? kama vp achana nae maana kama vle hana mwelekeo
 
Mimi naunga mkono msimamo wako. Love and sex are two things which are quite different with different meanings.
Nguvu ya UPENDO ni kubwa kuliko nguvu ya MAPENZI(sex). Upendo hudumu na ndio maana umpendae akikosea utamsamehe 7*70) NGUVU ya MAPENZI hudumu miili ikikutana tu, tena wakati mwingine huleta hofu(kama una imani ya dini yeyote).
Nakupinga pia kwa mawazo yako potofu kwa kuupima UPENDO wa huyo mwanaume kwa kula PESA zake. Wewe sio WIFE material, inamaana ukila ela yake nyingi utamkubalia?HAPO UTAKUA UMEJIUZA NDUGU YANGU.
Wanaume humthamini sana mwanamke asiyekuwa tayari kujiachia kirahisi na asiyekuwa mwepesi wa kuomba pesa. Hivyo ndio vipimo vyao wengi wao. Kuwa mtiifu na unaejali,pinga sex na pesa zake hapo hata ndani ya mwezi utafahamu NGUVU YA UPENDO NA UTOFAUTI WAKE NA NGUVU YA SEX.
UKISHINDA HIVYO, MUME UTAKAEMPATA NI MUME KWELI.
 
Wana JF naombeni ushauri. kuna mwanaume nilikuwa nawasilana nae kwa simu baadae tukaonana siku ya kwanza akaanza kunipa sera zake nikamwambia nipe muda wa kufahamiana. lakini nilipokutana nae mara ya pili amekuwa akitaka tufanye ngono nikamkatalia na kila tukiendelea kukutana suala la kufanya ngono ndo msisitizo wake hadi ananiboa hata sina tena hamu ya kuendelea kukutana nae. Nikamjibu kuwa kuhusu ngono kwa sasa asahau sasa kila akinipigia simu anasema ajafurahishwa na msimamo wangu. misimamo yangu mingine ya maisha haijamgusa ila suala la kukataa kufanya ngono ndo limemgusa. pia katika kukutana nae tumekuwaq tukipata tu soda na chakula cha gharama ya kawaida ana sijawahi hata kupokea fedha yake ila amekuwa akiniambia yaani wewe ndo mwanamke wa kwanza kula fedha yake, pia nikimwambia anionyeshe anapokaa anasema eti anaishi na mdogo wake hivyo hawezi kunipeleka kwa sababu hajawahi kumpeleka mwanamke nyumbani kwake pia mama mwenye nyumba yake anamfikiriaje kwani hana tabia hiyo. kwa hayo wana JF nataka kumtema kama naona anifai vile Naombeni ushauri.

Aka babu! Hafai hata kwa mbolea!!!!!!!!
 
Mdogo wangu huyo sio mwanaume, anataka ale uroda aishie zake. Kimbia tena hata usigeuke nyumba, soda tu anakusimanga hlf bado anang'ang'ania umpe uroda, lol!
sio hivyo mimisijamwomba
hela tatizo liko kwenye hizo kauli sijapendezwa nazo hata tu soda
nahesabiwa kula hela yake?
 
taratibu smile, usije ukaja na ngeu hapa, huyo mke wake hakawii kukugeuka, shauri yako take care bt mkomeshe i wish ningekuwepo kwenye hilo seleka
usjali nitaweka picha hapa
yaani ofsi nzima watajua?
Atanikoma nakuambia.... Yaani nina hasira wewe sitanii
 
yaani kuna mtu kesho nataka nimpe makavu live ,haki ya mungu atajuta kunifahamu... Atanieleza ananitakia nini na ana mke wake nyumbani...hii kesi itazimwa na mke wake na mama mkwe wake

Sasa Smile, hiyo energy yote utakayotumia na time utakayowaste kesho si heri untafute tule lunch pamoja!???:yo:

Wana JF naombeni ushauri. kuna mwanaume nilikuwa nawasilana nae kwa simu baadae tukaonana siku ya kwanza akaanza kunipa sera zake nikamwambia nipe muda wa kufahamiana. lakini nilipokutana nae mara ya pili amekuwa akitaka tufanye ngono nikamkatalia na kila tukiendelea kukutana suala la kufanya ngono ndo msisitizo wake hadi ananiboa hata sina tena hamu ya kuendelea kukutana nae. Nikamjibu kuwa kuhusu ngono kwa sasa asahau sasa kila akinipigia simu anasema ajafurahishwa na msimamo wangu. misimamo yangu mingine ya maisha haijamgusa ila suala la kukataa kufanya ngono ndo limemgusa. pia katika kukutana nae tumekuwaq tukipata tu soda na chakula cha gharama ya kawaida ana sijawahi hata kupokea fedha yake ila amekuwa akiniambia yaani wewe ndo mwanamke wa kwanza kula fedha yake, pia nikimwambia anionyeshe anapokaa anasema eti anaishi na mdogo wake hivyo hawezi kunipeleka kwa sababu hajawahi kumpeleka mwanamke nyumbani kwake pia mama mwenye nyumba yake anamfikiriaje kwani hana tabia hiyo. kwa hayo wana JF nataka kumtema kama naona anifai vile Naombeni ushauri.
Furahatuu..hakunaga mapenzi siku hizi, watch out mamii!!!
 
Last edited by a moderator:
sasa smile, hiyo energy yote utakayotumia na time utakayowaste kesho si heri untafute tule lunch pamoja!???:yo:

furahatuu..hakunaga mapenzi siku hizi, watch out mamii!!!
ujue ananiudhi eti ananiambia kesho anakuja kulala hapa ,kwani guest house hapa au hotelini? Amenidisvalue aisee..hii ni dharau kishezi... Mimi changu sana hadi nimlete kwa bed langu? Ana nini hivo ..yaani acha stay tuned...maisha yangu sijui yanamsumbua nini ujue atanikoma
 
we still use the same trick and u keep on fall for them....
 
yaani kuna mtu kesho nataka nimpe makavu live ,haki ya mungu atajuta kunifahamu... Atanieleza ananitakia nini na ana mke wake nyumbani...hii kesi itazimwa na mke wake na mama mkwe wake

huna lolote nyie ndio mnapenda kuwachukulia wanawake wenzenu waume zao.
 
Una umri gani jamani? Huwa unaongea na mama yako?
kwa hiyo huyu prospective huzbend wetu yeye hata dasa zake wakimtembelea mchana inabidi waje na birth ceetificates ili
mama mwenye nyimba averify? Mume wa mtu huyo acha uduwanzi bwana!

Home likes this
 
Sasa mbona majibu unayo tayari?Ushauri wa nini?
 
Back
Top Bottom