Mwanaume wa jinsi hii anafaa kuwa husband

Mwanaume wa jinsi hii anafaa kuwa husband

Una umri gani jamani? Huwa unaongea na mama yako?
kwa hiyo huyu prospective huzbend wetu yeye hata dasa zake wakimtembelea mchana inabidi waje na birth ceetificates ili mama mwenye nyimba averify? Mume wa mtu huyo acha uduwanzi bwana!

hapahitaji darasa hapo.......
 
Lol...hapa wote mmekutana na ameshakustukia kuwa wewe mpenda pesa !!ukijilegeza tu anakula na kupotea
Nasema mmekutana kwa sababu gani kwanini wewe akosee tu simu then ukushawishi then ukubali kukutana nae sensibly unatamaa hilo la kwanza
Pili nina wasiwasi alikutongoza kwenye simu ukakubali sema ndo hutaki kutoa hiyo kitu inamesa menzake hii inamana kuwa wote...ww na yy siku mtu akikosea tu number(wrong number) unahisi hiyo....bahati unayo hii ni TABIA YA UMALAYA
Tatu wewe ni mtu wakutamani tamani siku ukikutana na bakheresa utatamani...na siku ukikutana na Manji utatamani pia kwani ushasema kabisa ungepewa Fedha ungemvulia chupi-hii tabia itakuponza kwa sababu inaonyesha hata jamaa angekumwagia mahela siku ya kwanza ungetoa mbunye.....bila kikwazo,mbali na hilo inaonyesha wewe ni tegemezi sana kwa wanaume yani sio Miss independent hii tabia mbali na kukutokea puani itakusababishia usipate chaguo lako la maisha(soulmate) kwa kigezo kuwa tu hana hela!!ndo mana inaonyesha hadi leo hii una hang hang tu kama upepo huna mtu permanent boyfriend(tamaa zitakuuwa) kumbuke always no free lunch jamaa kakustukia wewe kicheche ndo mana hataki hata ujue kwake haufai na hata huna sifa ya kuwa mke wake sema anakupata mafuta kwa chupa ya mgongo ili a heat and run....away

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ha ha ha ha

Mbute ni mihogo inayovundikwa

mbute ni nini tena? bora wewe mimi nilishalipishwa ...nilipewa bill nilipe mimi
nilikomaje,na hapo mimi nilikunywa maji tu yeye kala kuku nusu na bia nne
 
Wana JF naombeni ushauri. kuna mwanaume nilikuwa nawasilana nae kwa simu baadae tukaonana siku ya kwanza akaanza kunipa sera zake nikamwambia nipe muda wa kufahamiana. lakini nilipokutana nae mara ya pili amekuwa akitaka tufanye ngono nikamkatalia na kila tukiendelea kukutana suala la kufanya ngono ndo msisitizo wake hadi ananiboa hata sina tena hamu ya kuendelea kukutana nae. Nikamjibu kuwa kuhusu ngono kwa sasa asahau sasa kila akinipigia simu anasema ajafurahishwa na msimamo wangu. misimamo yangu mingine ya maisha haijamgusa ila suala la kukataa kufanya ngono ndo limemgusa. pia katika kukutana nae tumekuwaq tukipata tu soda na chakula cha gharama ya kawaida ana sijawahi hata kupokea fedha yake ila amekuwa akiniambia yaani wewe ndo mwanamke wa kwanza kula fedha yake, pia nikimwambia anionyeshe anapokaa anasema eti anaishi na mdogo wake hivyo hawezi kunipeleka kwa sababu hajawahi kumpeleka mwanamke nyumbani kwake pia mama mwenye nyumba yake anamfikiriaje kwani hana tabia hiyo. kwa hayo wana JF nataka kumtema kama naona anifai vile Naombeni ushauri.
@Furahatuu, huyo rafiki yako ana njaa, sijui akikupata siku hiyo itakuwaje.Mwenzio hizo soda na chakula anavyokupa anavihesabu kama sehemu ya kununua penzi lako.na analenga jambo moja tu, "NGONO".Huenda ukishampa ndiyo atakuwa ameshatimiza nia yake na thamani yako itakuwa imeishia hapo.
Ushauri: Just follow your heart, na sie tutakupa support katika maamuzi yako.
 
pole, huyo anataka umpe zen jibu utapata baada ya hapo. ila du kama vp anza kwangu, mimi mwenye nyumba hana nouma.
 
Mwenzio hizo soda na chakula anavyokupa anavihesabu kama sehemu ya kununua penzi lako.na analenga jambo moja tu, "NGONO".Huenda ukishampa ndiyo atakuwa ameshatimiza nia yake na thamani yako itakuwa imeishia hapo..
Hapo pekundu ndo umeongea point.
Na huenda isitokee hivyo.
Inaweza kuwa ndo nafasi pekee ambayo imemjia huyu dada.
Lazima uwe optimistic, sio kilalinalokuja unalilebo "BAYA"
 
Last edited by a moderator:
mume wa mtu huyo achana nae.. ndo zao.kama mnakula ckakula na soda za bei ya kawaida tuu kexhaanza kusiif " ooh una bahat Kula ela yanGu".hana issue.sepa atakupotezea mda...MXHAMBA.
 
Hapo pekundu ndo umeongea point.
Na huenda isitokee hivyo.
Inaweza kuwa ndo nafasi pekee ambayo imemjia huyu dada.
Lazima uwe optimistic, sio kilalinalokuja unalilebo "BAYA"
This was the last thing I expected from a highly respected GateCrasher.
 
Last edited by a moderator:
tupa kule!
kwanza umeanzaje kuanza hata kumfikira anaweza kuwa mume!?????
 
Back
Top Bottom