Mwanaume wa Dar katika ubora wake

Mwanaume wa Dar katika ubora wake

Kanga na vitenge ni mavazi ya kike hata kama yakishonwa vipi.....
nakumbuka nikiwa mdogo mama alinunua kitenge, dada akashona nguo, kikabaki kipande wakasema nishonewe shati...nikasema akaaaaaa, wakanishangaa kweli
 
Dar hakuna wanaume washamba,huyo unaemuna hapo ni miongoni mwa wagombania soda
Haya mkuu nasmapesa sisi huk kwetu tunatafuta pesa dar tunakujaga kchagua gari za ktembelea na za biashara tu
 
Ila mnagombania magauni ya Dada zenu na kunyang'anyana poda
Jana nimemkamata ngosha mmoja anakojoa ovyo nikamwambia nampeleka polic aisee kwa mara ya kwanza nimeona mwanaume analia kama mtoto,nikacheka moyon nikaendelea na shughuli zangu.
 
Hao wa mkoani umkute ubungo ndo kashuka kwenye basi na hela hana anatoaje macho...anajua leo ni kutobolewa spika tu maana pwani huku hakueleweki
 
Mimi kwa kweli hata wanaume wanaovaa nguo za kubana, iwe jeans, suruali ya kipapa n.k. uwa siwaelewi. Huku kuiga uzungu huku. Wao wanavaa nguo za kubana kutokana na hali ya baridi. Sasa siye nasi tunajitikwa tu na joto la bongo!

Of course, hii ya nguo za kubana linaenda hata kwa wanawake, ndiyo maana magonjwa ya ajabu ya sirini yamezidi. Badala ya kuvaa nguo za kupwaya ili mpunge upepo mnajivisha skinny! Halafu unakuta mwanamke ndani ya skinny akiswampa kwenye jua kali!
 
nakumbuka nikiwa mdogo mama alinunua kitenge, dada akashona nguo, kikabaki kipande wakasema nishonewe shati...nikasema akaaaaaa, wakanishangaa kweli
Kweli hayo ni mavazi ya kike kabisa....isipokuwa wabunifu wa mavazi wameamua kutuvalisha mavazi yakike....
 
Ili iwe ya kike inabidi iweje? Hapo me sijaelewa. Kwani ameazima au Ni yake? Kama Ni yake inaitwaje ya kike ikiwa yeye Ni mwanaume?
 
naona watu wanajitahidi kulikuza hili la wanaume wa dar
 
Back
Top Bottom